Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAKWATA wanasemaje kuhusu hili swala?Jamani nimepata taarifa kuwa Wema na Diamond wamerudiana tena baada ya mdada huyo kwenda kumuomba mamake Diamond asaidie na aibu inayomuandama. Na kwamba mamake Diamond kwa huruma ya kimama akaamua kumuita Diamond na kumwambia amrudie Wema naye amekubali. Hii ikimaanisha kuwa mama Diamond na Wema sasa wamemaliza tofauti zao. Ni taarifa nilizozipata leo hii. Kweli Penzi kizungumkuti
BAKWATA wanasemaje kuhusu hili swala?
Bakwata bado wanaomboleza DC wa Igunga kubakwa bila nonino kuingia..
kupenda kubaya.mimi nisingerudi nyuma,uwaite waandishi wa habari na utoe sababu,hiyo peke yake ni kudhalilishwa.yule dada nae akipenda,hupenda hasa
hizi sinema zisizo na muongozaji hizi.....mmmh...
Labda Wema anamvutia kasi jamaa ili aje ambwage yeye!
awe anapenda basi watu wenye heshima zao....mimi Wema anaponichosha ndio hapo....vibwana vyake vyote huwa havieleweki...sijui huwa anatoana nao wapi....na kila mmoja lazima amuaibishe....lakini hakomi.....
awe anapenda basi watu wenye heshima zao....mimi Wema anaponichosha ndio hapo....vibwana vyake vyote huwa havieleweki...sijui huwa anatoana nao wapi....na kila mmoja lazima amuaibishe....lakini hakomi.....
Busara na upoleeee..............
Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu nanaa................
Vyote hukuvijaliiiiiiii................
Ukaona uniache mimii uende kwa mwingineeee...............
Kwa tuku na mkoleaaa.........
Ukakata na shina la penzi langu mamaaa..............
Eti kisa maliiii..............
Ukaona uniache mimi uende kwa mwingine............
Tatizo kwetu Mbagalaaaa........... Hapa nyumba mbele jalalaaaaa.....
Tatizo kwetu mbagalaaaa...........
Ukaona uniache mimi na uoleweeeeee..........
awe anapenda basi watu wenye heshima zao....mimi Wema anaponichosha ndio hapo....vibwana vyake vyote huwa havieleweki...sijui huwa anatoana nao wapi....na kila mmoja lazima amuaibishe....lakini hakomi.....
Tatizo la Diamond akosa ushauri sahihi, sasa aite tena waandishi wa habari na kuwaeleza kilichojiri.kupenda kubaya.mimi nisingerudi nyuma,uwaite waandishi wa habari na utoe sababu,hiyo peke yake ni kudhalilishwa.yule dada nae akipenda,hupenda hasa
Ndiyo miss aliyetembea na wanaume wengi uchwara nadhani kuliko wengine wote. Jumbe, T.I.D, Mr. Blue, Charles Baba, Kanumba, Diamond n.k achilia mbali wanaogonga na kuacha! Hata hivyo anajitahidi kuwa na moyo mgumu, nadhani ni punching box ya kujifunza kwa wanaume kutoka na mastaa.awe anapenda basi watu wenye heshima zao....mimi Wema anaponichosha ndio hapo....vibwana vyake vyote huwa havieleweki...sijui huwa anatoana nao wapi....na kila mmoja lazima amuaibishe....lakini hakomi.....