Wema, diamond... Hakuna ndoa

Wema, diamond... Hakuna ndoa

kwa ushamba wake naona anajiona baaab kubwa
vitoto bwana kakinunua gagulo eti waaandishi wa
habari,sijui kamepigwa busu kanatoa
msimbazi kapigwe picha udaku nao loool
Celbrity fame strategy... to remain on headlines..
 
yani na kuweka dako nje siku ya fiesta moro kwa ajili ya mshikaji leo yamekuwa haya.wema nae alikuwa hakauki na habari za kijinga kwenye magazeti ya udaku nadhani ndicho kilicho mghalimu kama vp aje hapa kwa tajiri ya mahaba nimuonye kazi.
 
afadhali maanake wema kwa diamonnd alikuwa kama cougar vile?!
 
Umri wake na shule yake havimtoshi diamond kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi,tunawapenda sana mama zetu na tunawaheshimu,mzazi ana nafasi yake ktk mapenzi na mpenzi anafasi yake,ukimuachia mama atawale mapenzi yako kwa umpendae bac safari yenu itaishia stand tu,mama diamond alitakiwa amshauri mapema mwanae hapo unapoingia sipo na sio asubiri wameshaveshana pete ndio atoe maamuzi hayo,diamond kila mtu dunian anampenda mzazi wake hata kifaranga cha kuku anapomuona mwewe ujificha ktk mabawa ya mama ake na wala sio umri wako,jiangalie utaacha sana wanawake kwa kumsikiliza mama yako,fanya maamuzi sahihi wakati sahihi,all in all kuwa makini na mama yako najua unampenda ila kuwanae makini
 
tuache utani jamani Wema mzuri,mtoto ngozi lainiiii,ilo figa ss ndio hatari tupu...mwacheni afanye maisha yake,anastahili na yanampendeza
 
kumbe Diamond ana akili aisee.mimi ukimgusa mama yangu kwa lolote ata nilikuvalisha pete jana,nakumwaga!
 
Jamani nimepata taarifa kuwa Wema na Diamond wamerudiana tena baada ya mdada huyo kwenda kumuomba mamake Diamond asaidie na aibu inayomuandama. Na kwamba mamake Diamond kwa huruma ya kimama akaamua kumuita Diamond na kumwambia amrudie Wema naye amekubali. Hii ikimaanisha kuwa mama Diamond na Wema sasa wamemaliza tofauti zao. Ni taarifa nilizozipata leo hii. Kweli Penzi kizungumkuti
 
Ni kina nani hao?
 
Hee kumbe waliachana? Sina taarifa haya mambo ya kukaa porini nayo bana
 
Hee kumbe waliachana? Sina taarifa haya mambo ya kukaa porini nayo bana

Pole uwe unapanda kwenye miti kidogo japo upate network. Diamond alitangaza jtano iliyopita kumtema rasmi Wema, lakini leo ndio nimeambiwa wamesuluhishwa na mamake diamond, mama ambaye ndie huyohuyo chanzo cha mwanae kumtosa wema
 
kupenda kubaya.mimi nisingerudi nyuma,uwaite waandishi wa habari na utoe sababu,hiyo peke yake ni kudhalilishwa.yule dada nae akipenda,hupenda hasa
 
kupenda kubaya.mimi nisingerudi nyuma,uwaite waandishi wa habari na utoe sababu,hiyo peke yake ni kudhalilishwa.yule dada nae akipenda,hupenda hasa

awe anapenda basi watu wenye heshima zao....mimi Wema anaponichosha ndio hapo....vibwana vyake vyote huwa havieleweki...sijui huwa anatoana nao wapi....na kila mmoja lazima amuaibishe....lakini hakomi.....
 
Back
Top Bottom