Wema, diamond... Hakuna ndoa

Wema, diamond... Hakuna ndoa

Wena ana pepo la subiani makata haya majini yanapenda sana mamis kwa mujibu wa sheikh yahya
 
huyu wema nae kila kittu anaongelea magazetini...hana choo cha shimo akaongelee huko
 
Hao wapuuzi tu,kila kukicha wao tu utadhani wapo peke yao,kila mmoja anamtegemea mwenzie kwa skendo zake
 
Haya ni maneno ya wanadamu tu ambayo hayana gerentii yoyote km ni mapngo wa mungu kwamba hawa watu watakuwa mme na mke basi hata km wataachana kbs na kila mtu kuoa au kuolwa na mtu mwingine wakati wao wa kuwa pamoja ukifika lzm watarudiana na kuoana na mpango wa mungu kutimia na kama sio mpango wa mungu hata km watafunga ndoa siku ikifika wataachana na kila mtu ataenda kukutana na wake aliyepangiwa na mungu kuwa naye maishani.

kasome Biblia kuanzia Mwanzo 1:1 mpaka ufunuo akuna sehemu imeandikwa Mpango wa Mungu wanandoa Kuachana hata siku Moja kama una New virsion ya baibo yako tumwagie hapa.....
 
Ishu ni kwamba skendo zinapunguza chances za kumpata mwenza aliyebora labda bora mwenza.
Tukiishi kwa kuamini Mungu atasaidia kila jambo bila kuplay roles zetu vizuri, sidhani kama tutakuwa sahihi.
Kwa asili mwanaume ni mtu anayependa mwenza wake peke yake sasa kama hilo halizingatiwi, mzuka unaisha
ghafla hata kama kesho ndo ingekuwa siku ya harusi.
Kuhusu kuacha jumla hilo ni lao wenyewe, laini mimi nadhani tusiishi kwa kuamini labda Mungu hajanipangia huyu
ila tuamini huyu ndo pekee Mungu aliyenipangia hapo tutatumia uwezo wetu wote kubaki kwenye mahusiano na
itawezekana kwani hakuna lisilowezekana chini ya jua.
 
Pdidy, ingekuwa Wema (mwanamke) kamkataa Diamond (mwanaume) ungetoa ushauri gani kwa wanaume?

Au ungewageukia wazazi kwa kuwaamulia maisha watoto zao? Huyo Diamond alikuwa virgin before Wema?

Anyway ningesema mengi lkn naona inatosha haya!

Mkuu Hapo nadhani niweke wazi we ukutaka wote tabia zao chafuuu na ni bora wakaenda kujirekebisha na kuanagalia upya kama wanaweza kukaa pamoja ama kuwafurahisha magazeti na akina shigongo....ni kweli diamond akuwa virgin na hata wema akuwa virgin..sipendi kusema waitolewa lini bikira zao ila swala lililopo hapa ni nidhamu..wapo walificha bikira zao mpaka wanaolewa leo hii kila wanaume wanawaogopa...heshima na ufahamu wa kujua nifanyacho kina madhara gani ni nzuri sana sana....natumaini haya yote ni moja ya maombi ya wazazi wao..na labda nikujulishe ogopa kuingia kwenye mahusiano ambayo baba na mama mzazi anayaogopa na kukutaahadharisha..ni vigumu kuwaeleewa unapochukua jumla na moto utakaokutana nao humo ndan unatamani utoke muda umeisha ...so hata hawa wazazi wanaopinga hizi ndoa wana akili zaidi na kama wanajua ni wakawati wa kukaa chini an kupeaana muda kila mtu akakue ajue uchafu wake ni ui aache ama aendelee nao..sipendi kuona watoto wakizaliwa wanaishia kupelekwa kw amababu zao kisa mwanamke ama mwanamme kakataliwa ama mume kala kona kisa shunsha!!
 
Mshahara wa kufurahisha magazeti na blogs.. Nani asiyependa chake mwenyewe? Mama mkwe kaona na kusoma magazeti, hataki kuchekwa.
 
Hakuna Ndoa Kum.a.anisha nini??



DIAMONDBIRTHDAY21.jpg
DIAMONDBIRTHDAY4.jpg
 

Attachments

  • DIAMONDBIRTHDAY21.jpg
    DIAMONDBIRTHDAY21.jpg
    68.4 KB · Views: 79
umeona eeh? diamond is smarter! mwanamke mdomo wazi kama nini sijui,kha! na anajua media inachomtenda kila siku!
huyu wema nae kila kittu anaongelea magazetini...hana choo cha shimo akaongelee huko
 
Kama Wema kaachika naomba namba yake ya simu..Wao wakisema wa nini wengine tunasema tutampata lini!
 
Wote mnaochangia,mnatamani muwe kama wao,kila siku wema,diamond,mchangie mawazo yenu umeme tuzalishe vp mara 1000 bora.
 
Nadhani itakuwa ni zama yangu kuenjoy na mtoto wema.maana wema kaletwa duniani kwa ajili yetu wanaume.ngoja nimalizie singo yangu kwa ajili ya kumkamata mtoto wema.kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom