Ishu ni kwamba skendo zinapunguza chances za kumpata mwenza aliyebora labda bora mwenza.
Tukiishi kwa kuamini Mungu atasaidia kila jambo bila kuplay roles zetu vizuri, sidhani kama tutakuwa sahihi.
Kwa asili mwanaume ni mtu anayependa mwenza wake peke yake sasa kama hilo halizingatiwi, mzuka unaisha
ghafla hata kama kesho ndo ingekuwa siku ya harusi.
Kuhusu kuacha jumla hilo ni lao wenyewe, laini mimi nadhani tusiishi kwa kuamini labda Mungu hajanipangia huyu
ila tuamini huyu ndo pekee Mungu aliyenipangia hapo tutatumia uwezo wetu wote kubaki kwenye mahusiano na
itawezekana kwani hakuna lisilowezekana chini ya jua.