Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
humjui Wema ndio maana,yule binti anapenda kwa dhati lakini ana bahati mbaya kuangukia mikononi mwa wachafuzi.Hata ingekuwa ni mimi, ningeacha RADHI kwa mtoto wangu kumuoa Wema.
uache kusoma magazeti ya Shigongo,Wema alikuwa anachukua hela kwao kuwa-support Jumbe na baadae Chaz Baba na nimeambiwa alimpa Almasi milioni 2 alizopata kwenye muvi bila kubakisha hata senti 5 sasa unajua maana ya Gold digger ??yeah!...ingawa wema ni gold digger
jibu la mjinga ni kukaa kimya tu...................sitakujibu.We kiazi nini tayari nawe umepoteza muda!!
Kijana ana kazi kubwa mbele ya safari...kama mama mwenyewe ndo yule mmmmmhh!!!
Hiyo JF yenyewe anaijua?Mswazi na mtandao wapi na wapi?Hivi Diamond ni nani haswa hadi ufikie hatua ya kumpatia ushauri kupitia JF.Acheni kupandisha chati wahuni wa Manzese.
Hivi Diamond ni nani haswa hadi ufikie hatua ya kumpatia ushauri kupitia JF.Acheni kupandisha chati wahuni wa Manzese.
haya mapete ya kuvalishana maclub mmelewa haya? loh alimvalisha kimjinimjini na kamuacha kimjinimjini
Nawewe umekosea sana kuleta hili bandiko wakati unajua huku hawezi kufika na sijui kama anajua nini maana ya JF!!Hili badiko peleka kitabu sura A.K.A Facebook lazima ungeona mrejesho!!wakemy friend diamond popote pale ulipo...........hujafanya vyema!!
sisemi hujafany avyem akumuacha wema..la hasha!!kitendo cha kumvika pete ndani ya mwezi huo huo n akuamua kumtosa huyo binti umeprove failure,............umeonyesha jinsi gani huna msimamo kama mwanaume...hata huyo mama yako vile vile si mshauri mzuri hasa kwenye masuala hayo au hakushauri kwa wakati muafaka.....
watu wa dizaini ya diamond wanaitwa 'results driven'.....yaani mnafanya maamuzi baada ya kuamua...sijui kam aumenielewa vizuri....!!
always jaribu kukaa chini na kuwa na watu unaowaamini katika maisha yako utakaokuwa wazk kwako wakushauri kwa kil akitu kilicho mbele yako..................mama yako anakuogopa mdogo wangu.........inawezekana kweli ulishauriwa hivyo na wema na mama akawa hampendi ila alihofia upendo wake kwako...mama nae anamakosa
chakufanya kaa chini..tulia sana na mamboyako ya mapenzi usiyaweke wazi kbs kweny emagazeti unless otherwise....tafuta wakati muafak aUKAMUOMBE RADHI WEMA...machozi yake yatakukost mdog wngu..........huop ni mkosi kwako na kw afamilia yako..usijione shujaa bali ni nuksi na mkosui mkubwa sana huo.................poleni sana wadogo zangu.maisha ni kujipanga every moment u get...narudia tena..............................................EPUKA KUAMUA BAADA YA KUFANY AMAAMUZI...FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI SAHIHI..
MDAU
haya mapete ya kuvalishana maclub mmelewa haya? loh alimvalisha kimjinimjini na kamuacha kimjinimjini