Wema, diamond... Hakuna ndoa


Kweli kuna makosa amefanya. Lakini hiyo ngoma ilikuwa sio size yake. Angempotezea muda tu. Bora amekimbia. Angeumia zaidi huko baadae.
 
Hivi Diamond ni nani haswa hadi ufikie hatua ya kumpatia ushauri kupitia JF.Acheni kupandisha chati wahuni wa Manzese.
Ni Mtanzania anayestahili kusaidiwa kimawazo na kimali na watanzania wenzake...Aliyekwambia watu wa Manzese hawastahili au hawana hadhi ya kuwa JF ni nani?hebu watake radhi watu wa Manzese....
 
Ni Mtanzania anayestahili kusaidiwa kimawazo na kimali na watanzania wenzake...Aliyekwambia watu wa Manzese hawastahili au hawana hadhi ya kuwa JF ni nani?hebu watake radhi watu wa Manzese....

ni kweli mkuu unayosema , ushauri haubagui mtu alikotoka ila cha msingi ni kuhakikisha unamfikia mlengwa , mambo ya maamuzi ni magumu san na wngi hujikuta wanakaa kwenye maamuzi ya awali kwa jaili ya kujinusuru kuwa kituko
 
dah!!namuonea huruma sana huyu wema,bora aame dar aje mkoani,kuna upepo mbayaa hapo dar.akimbie magaziti na umaarufu kwa mdaa,ilaa aina noma kinacho endaaa ndo kinacho rudi akaze moyo....si anaile pete au karudishaa,aka uzee apate japo kiinua mgongo.kuhusu huyu diamond itakuwa blood diamond mda sio mrefu,dogo ana ngangania kukaa na mamaa ampangishie mama nyumbaa plc nzuriii na yeye aanze kuishi kama kijana mwenye msimamo.aaaaaaaaaaaaaaaaaah tia asiraa
 

hahaaa
 
kila mmoja amevuna alichopanda. achana nao hao hawana hata vision
 
Hivi Diamond ni nani haswa hadi ufikie hatua ya kumpatia ushauri kupitia JF.Acheni kupandisha chati wahuni wa Manzese.

Absolutely, Mkonowapaka should have seen Diamond for a tete a tete
 
Mi sioni ajabu kwa hawa watu kuachana na nilisema mapema hapa kinachonishangaza ni kwamba imekuwa mapema mno...
 
Halala makoti!!!!!
Makoti



[TABLE="class: yiv634400736MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 100%"] The new wife was being welcomed at the husband's home in a traditional manner. As expected she gave a speech;
"My dear family, I thank you for welcoming me in my new home and family, firstly, my being here does not mean that I would want to change your way of life, your routine ."No, I will never do that, never in a million years."

"What do you mean my child?" asked the father-in-law.
"What I mean dad is (looking at her in-laws);

Those who used to wash the dishes must carry on washing them.
Those who used to do the laundry must carry on doing it.
Those who cooked should not stop at my account, AND
Those who used to clean should continue cleaning!!!

"And what are you here for?" enquired the mother-in-law.








"AS FOR ME, I'M HERE JUST TO ENTERTAIN YOUR SON!!!!!"




[/TD]
[/TR]
[/TABLE]







--















[h=3]Wema Isaac Sepetu??????[/h] Download All
 

Yani leo ndio unajua kwamba diamond hajakaa vyema upstairs??

pale wamekutana kwa mwizi kaingia jambazi

a day befoe wema kuvikwa pete alikua mbezi anashikwa makato na nyonyo kwenye public tena bila aibu yoyote ile

to they are all problems... na maisha wanayoishi ni maisha waliyochagua tu, na hawamalizi leo
 
Kweli kuna makosa amefanya. Lakini hiyo ngoma ilikuwa sio size yake. Angempotezea muda tu. Bora amekimbia. Angeumia zaidi huko baadae.

Kwani hakuona hili kuanzia mwanzo mpaka kufikia hatua ya kumvalisha pete...i hate wanaume wanaowaumiza dada zetu...inawezekana dogo alikuwa ameanza kujikimit kwake then unamwaga just like that...real sad.. wabongo tuanche kuiga mambo ya mamtoni siyo yote yanakuwa applicable kwetu..
 
bangi bwana,kesho utamsikia dayamondi kaita tena press conferens akisema ameamua kurudiana na wema,yaani hawa wanafanya maamuzi bangi likiwa kichwani likiisha ndio wanarudi kawaida
na yule mama wa kizalamu kafanya kazi yake km kawaida kupiga domo vizuri mpaka kuwaachanisha
bwana daimondo hapo mama huna,mama mnaongozana kwenda club akitongozwa huko si utapigana useme unampenda?
mama huyo huyo kashiriki nawewe kumvalisha pete huyo binti kwani hakukushauri toka mwanzo usiingie choo cha kike?
haya sasa subiri uletewe mtoto wa kizalamu toka ngomani na mama atakayemtaka kisha mrudi tandale maana sinza hakuwafai nahisi mlihamia shauri ya wema
 
sisemi hujafany avyem akumuacha wema..la hasha!!kitendo cha kumvika pete ndani ya mwezi huo huo n akuamua kumtosa huyo binti umeprove failure,............umeonyesha jinsi gani huna msimamo kama mwanaume...hata huyo mama yako vile vile si mshauri mzuri hasa kwenye masuala hayo au hakushauri kwa wakati muafaka.....
 
Umeandika vema sana mdau, binafsi nakubaliana nawe kuwa huu si ushauri wa diamond kama msanii bali umetoa ushauri kwetu vijana na hasa ambao tuko kwenye mchakato wa kufanya maamuzi ya ndoa, wengi sana tumekuwa tukiamua bila kujipa muda wa kufikiri na mwisho wa siku tunajikuta tunaumia na kujilaumu na wakati mwingine tunachukua maamuzi yenye kuleta mikosi, ni suala la imani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…