Umri wake na shule yake havimtoshi diamond kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi,tunawapenda sana mama zetu na tunawaheshimu,mzazi ana nafasi yake ktk mapenzi na mpenzi anafasi yake,ukimuachia mama atawale mapenzi yako kwa umpendae bac safari yenu itaishia stand tu,mama diamond alitakiwa amshauri mapema mwanae hapo unapoingia sipo na sio asubiri wameshaveshana pete ndio atoe maamuzi hayo,diamond kila mtu dunian anampenda mzazi wake hata kifaranga cha kuku anapomuona mwewe ujificha ktk mabawa ya mama ake na wala sio umri wako,jiangalie utaacha sana wanawake kwa kumsikiliza mama yako,fanya maamuzi sahihi wakati sahihi,all in all kuwa makini na mama yako najua unampenda ila kuwanae makini