Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Una id ngap? Ghafla tu nimeona pic yako niliyoizoea kidogo umeitoaAmekosa adabu yaani jinsi alivyotamka as if anatamka PUGU DAMPO kwenye jalala la taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una id ngap? Ghafla tu nimeona pic yako niliyoizoea kidogo umeitoaAmekosa adabu yaani jinsi alivyotamka as if anatamka PUGU DAMPO kwenye jalala la taifa
wema ana usomi gani?hiyo form four...?!!hivi huyu kakosa project yyote ya maana na usomi wake aishie kuzunguka na midundiko mikoani?
kule malaysia alienda kusomea degree ya kupangilia mabwana na ukahaba?
ana mambo ya ajabuajabu nachukia hadi kumsikia.mwangalie klynn,nancy,lisa,nargis na wengineo thn yy.hata kama ni kuboost umaarufu lakin sio kwa vitu vya kipuuzi..umiss wenyewe aliupata kwa uchi.na yyte anaemshabikia huyu sio mzima kichwani
Bas ntakua nimekufananishaUmenifananisha nina id moja tu mkuu
ndo anavosema...afadhali hata shilole na la saba lake but hana upunguani wa kumfikia huyu dada...mi kadr siku zinavoenda sipend hata kumsikia huyu dada,angekua hata na mtu wake wa karibu wa kumshauri but inavoonesha familia yake yote fyatu hadi mama mzaz.wema ana usomi gani?hiyo form four...?!!
Hivi Tanga kulikuwa na watu wengi kweli? Manake sioni yale matashtiti ya kupost matukio yake na Muna, hata wapambe pia nao kimyapole pachoto kwa kudharauliwa!
Hao ndo wasanii wetu!!full dramazz!!
Nimejiuliza hilo swali pia [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hivi Tanga kulikuwa na watu wengi kweli? Manake sioni yale matashtiti ya kupost matukio yake na Muna, hata wapambe pia nao kimya
Yu mpangaji tu hapa Dar er salam, ana nini chakujivunia, anadhalau miji ya watu kwa kujivunia nyuma za watu, zikiwemo za wenye mji anaudharau. Atabaki kunuka kikwapa tu watu wataendelea kumpuna tupole pachoto kwa kudharauliwa!
Hao ndo wasanii wetu!!full dramazz!!
Inaweza asiwe mmakonde, ila akawa anatoka makabila mengine ya Mtwara, nae ataumizwa na kauli mbovu. Nadhani hata wanaochangia mada hii wote sio wenyeji wa Mtwara, au Wamakonde.Mleta mada wewe ni mmakonde?
nahisi kulidoda maana sijaona swaga zile!Hivi Tanga kulikuwa na watu wengi kweli? Manake sioni yale matashtiti ya kupost matukio yake na Muna, hata wapambe pia nao kimya
pachoto chapa ya gesi hiyooMleta mada wewe ni mmakonde?
Mmakonde huyoo!!Inaweza asiwe mmakonde, ila akawa anatoka makabila mengine ya Mtwara, nae ataumizwa na kauli mbovu. Nadhani hata wanaochangia mada hii wote sio wenyeji wa Mtwara, au Wamakonde.