Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Mama Diamond alikuwepo ndiyo alikabidhi gari kwa niaba ya mwanaye na aliongozana na Asha Baraka. Mama Diamond alisema ,yamesemwa maneno mengi sana ya kumkashifu Wema lakini ukweli utabaki pale pale kuwa mwanaye anampenda Wema na kafa kaoza na yeye kama mama anampenda Wema pia. Kwa hiyo wenye kuumwa na roho ndo basi teeeeena. Poleni kwa yaliyowafika haaa haaa haaa. Mtabaki na viulizo kibao ooh Mkongo sijui Clement sijui fulani, mtabaki na viulizo kibao wenyewe washapendana nyie fanyeni yenu.
 
Muulizeni Documents za hili gari anazo?? Isije kuwa bado zipo kwa Ruge kama zile za mzee Ngurumo R.I.P
 
Basi kichefu chefu chako kikali shoga angu..basi tengeneza juisi ya ndimu unywe kutwa mara tatu...nyingine paka kidogo machoni...

Hhhhhhaaaaa shogaaa juice ya ndimu imedundaa bora jiki aisee
 
Back
Top Bottom