snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Kwanini asimnunulie kiwanja?
We naeeeee,sa kwan kiwanja kinabebeka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asimnunulie kiwanja?
We naeeeee,sa kwan kiwanja kinabebeka?
We naeeeee,sa kwan kiwanja kinabebeka?
BMW la Mcongo ni kali kuliko Murano
Wambea tumenyweeaa....tunasikilizia bakora za msuto...
Haya mahaba yao kiboko....ila washasena maumivu yakizidi tulambe ndimu....
Mi ndimu nimeona haitoshii nilamba jiki kabisaa namsubiri warumi aje jion ntacheka nizimiee
Mi ndimu nimeona haitoshii nilamba jiki kabisaa namsubiri warumi aje jion ntacheka nizimiee
hahahaaa binamu @warumi umeyasikia haya??
Mi ndimu nimeona haitoshii nilamba jiki kabisaa namsubiri warumi aje jion ntacheka nizimiee
Basi kichefu chefu chako kikali shoga angu..basi tengeneza juisi ya ndimu unywe kutwa mara tatu...nyingine paka kidogo machoni...
Hhhhhhaaaaa shogaaa juice ya ndimu imedundaa bora jiki aisee
Mi ndimu nimeona haitoshii nilamba jiki kabisaa namsubiri warumi aje jion ntacheka nizimiee
Hhhhhhaaaaa shogaaa juice ya ndimu imedundaa bora jiki aisee