Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

Ndio hivyoo siku zote maskini hua wana kelele hata wakipika dagaa wataweka viungo vya pilau ila linukie mtaa mzima wajue wanakula pilau Matola mi mpaka niaminii watuwekee kadi tuone hayo majina ni ya wema hapo ndio watatuua kabisa lakini hivi hiv bado sanaaaaaaa

Nipeni namba ya gari nitawaletea jina la mmiliki kwenye kadi. Hizi doromee wanapigwagwa Makorongwee tu siyo sisi wajuaji.
 
Last edited by a moderator:
Nipeni namba ya gari nitawaletea jina la mmiliki kwenye kadi. Hizi doromee wanapigwagwa Makorongwee tu siyo sisi wajuaji.

Si umeziona hapo kwenye pichaaa angalia picha za garii hapo
 
Nipeni namba ya gari nitawaletea jina la mmiliki kwenye kadi. Hizi doromee wanapigwagwa Makorongwee tu siyo sisi wajuaji.
yaani inasikitisha watz wachache bado wanapelekeshwa kama bendera fuata upepo.hata ku reason hawataki.mliambiwa nyumba 400 mkakubali,baadae mkaona matokeo.endless firm mkajubali.baadae mmiliki akachukua chake.magari yale mkakubali.wakaja kulikamata la wizi.leo murano na BMW bado mnapiga makofi ati wema kapewa.mi nilijua kajenga nyumba. leo ndo anafanya sherehe ya kuhamia.jaman magari tz sio fashion tena ni necessity good lazima uwe nayo tena zaidi ya mawili.huyo mkongo at work.people you need to think outside the box sometimes. sio kila kitu yes yes.dada mtu kafunga ndoa juzi hajanunuliwa hata sidiria...halafu wema apewe gari kweli.remember blood is thicker than water. wajinga hawataelewa werevu watanielewa!

ya
 
Kuna watu wana nyota kali kweli, anaitenga tu K watu wanaleta magari dabodabo wakati wengine wanajituma haswa lakini hata ahadi tu ya phonex hawajawahi pewa!

K yake itakua ina radha ya ukweli....sukari sukari ..chocolate...ice cream hiviii...daaah
 
Madem mwaka wenu huu! Mnagongwa, mnapata raha na magari juu, duuh!!
 
Angemnunulia.apartment nhc basi, khaa. Kwani gari ndo inabebeka? Si wangeipiga picha hiyo nyumba basi?
Kikigalambuka shosti,vuup anchukua bm lake.
Dimondo ana akiiili!


Ila ujue nimekununia!
 
Back
Top Bottom