Wema kapokea Nissan Murano kama zawadi ya Birthday

kiufupi alikuwa anawatukana walio edit picha yake.pia akamtukana kajala na wazazi wake.hiyo video inasambaa sana leo watsap

Mi mwenyewe ninazo bora ya kajala kaongea kawaida kuna nyingine kaongea matusi yani mama haogopi matusi ya nguoni na mwanawe yupo hapo au ndo wamama wa mjini nini kanishangaza
 
uuwww.kuna mtu kashakamatwa huko.hali tete nw

Jamaa mbona kadelete zile pics???

Au alihisi kachemka baada ya kugundua alokamatwa sio???

Loh

Mambo ya kuingilia magomvi ya wanawake ulokutana nao mjini ni shiiiiiiiiiidddeeer
 
sijui hanaga kazi.na inawezekana waliyemkata siye
 
Aibu sana kwa mwanaume kujiingiza kwenye mambo ya kipumbavu...

Sijui alitumia nini kufikiri

Matokeo yake watamdhalilisha bila sababu...unless iwe ni aina ya kick anayotafuta
 
Mi mwenyewe ninazo bora ya kajala kaongea kawaida kuna nyingine kaongea matusi yani mama haogopi matusi ya nguoni na mwanawe yupo hapo au ndo wamama wa mjini nini kanishangaza

sasa nimeamini kumbe zile team wema ni wema mwenyewe anawatuma watukane watu
 
Nahisi kitu kama hicho manake hata mamake amewapa go ahead na hivi wale hata ukweli hawauchunguzi ni kushambulia na kusifia tu basi kazi wanayo aisee
 
yaani i wish waje wakamatwe wakanyee debe yaani wameiharibu sana ig
 
Nahisi kitu kama hicho manake hata mamake amewapa go ahead na hivi wale hata ukweli hawauchunguzi ni kushambulia na kusifia tu basi kazi wanayo aisee

Hajakomaga tu na ile papuchi yake walivyoitoa hadharan? Mama wema yule shangingi wa kutupwa, hayo matusi sasa mmh
 
huo ndo ushamba ninaouongelea kwa hiyo kama katembelea vituo vya watoto yatima ndo inakuwa chanzo cha kuendeleza ujinga na mbona haikuwa habari kubwa kama ya BETHIDEI.

HATA KAMA HUYO WEMA NI SHOGA YAKO HUNA HAJA YA KUJIFANYA UNAMTETEA UKWELI UNAPOSEMWA NA UKUMBUKE SIMUONGELEI YEYE PEKE YAKE INAWAHUSU NA WASANII WASHAMBA WENGINE
 
Ipo siku papuchi ya Wema itakuwa inarudia kutaja majina yote pale dushe zinazorudia kuingia maana mapedeshee wenyewe wamebaki walewale.
 
Hajakomaga tu na ile papuchi yake walivyoitoa hadharan? Mama wema yule shangingi wa kutupwa, hayo matusi sasa mmh

Binamu nilikua jela ,kule jela sijakuona ulijificha wapiii
 
Back
Top Bottom