MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #81
hahha,watu wabishi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi duka la Wema limepona bomoa bomoa?
Taarifa kutoka mtu wa ndani kabisa wa endless fame zinasema mwanadada mrembo Wema Sepetu katumia zaidi ya bilioni 7 to get her business up and running.Mrembo huyo ambaye ni miss Tz 2006 ambaye kila siku anazidi kuwa mrembo na kijana zaidi ukilinganisha na 2006 amepata hela zote hizo toka mauzo ya kazi zake za sanaa kutoka soko la nyumbani pekee.
Habari zinadai kuwa baadhi ya pesa hizo amewekeza kwenye viwanda vinavyotengeneza bidhaa zake huko China na zingine akiwekeza kufungua maduka makubwa ya kisasa Afrika Mashariki na Kati.Mtonyaji huyo amedai bila Wema Sepetu Bongo movie ingekufa miaka mingi iliyopita lkn Wema amekua akipambana kutengeneza kazi nzuri na za maana wakati movie yake ya mwisho iliuza kopi milioni 2 (ni kama double platinum hivi).
Wema na meneja Kadinda walipotafutwa kuongelea suala hilo hawakupokea simu lkn tulipojaribu kumpigia mdau wa karibu Petiman alidai yuko kwenye besidei ya dada diamond na akitoka angetutafuta.
CHANZO :GPL
wawadanganye wajinga laini sio mie!billion saba munaijua au munaongea tu?!
Labda ni Billion 7 za Zimbabwe ( ZimDollar) mkuu.
Ivi unaelewa maana ya bilion 7??? Au unaandika tu!!???
B7 mzee unaweza kuihesabu kuanzia January to December na usimalize.hvyo ni vipodozi anauza au kafungua kiwanda kabisa tena siyo kimoja