Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

demu one night stand ndo amiliki bilions!!!!!

kwanza akili hizo hana..yeye akisikiaga kusagana maskio juuu lkn si buashara
 
bilioni saba wehu nyie! mnajua tu kuiongea mwigizaji nadia buhari wa ghana mwenyewe kwenye akaunti yake hana hela kama hyo
 
hahahahaha na hapa sasa hakuna tena hela za magumashi za kupewa pewa watapauka dunia ya kati
 
Taarifa kutoka mtu wa ndani kabisa wa endless fame zinasema mwanadada mrembo Wema Sepetu katumia zaidi ya bilioni 7 to get her business up and running.Mrembo huyo ambaye ni miss Tz 2006 ambaye kila siku anazidi kuwa mrembo na kijana zaidi ukilinganisha na 2006 amepata hela zote hizo toka mauzo ya kazi zake za sanaa kutoka soko la nyumbani pekee.

Habari zinadai kuwa baadhi ya pesa hizo amewekeza kwenye viwanda vinavyotengeneza bidhaa zake huko China na zingine akiwekeza kufungua maduka makubwa ya kisasa Afrika Mashariki na Kati.Mtonyaji huyo amedai bila Wema Sepetu Bongo movie ingekufa miaka mingi iliyopita lkn Wema amekua akipambana kutengeneza kazi nzuri na za maana wakati movie yake ya mwisho iliuza kopi milioni 2 (ni kama double platinum hivi).

Wema na meneja Kadinda walipotafutwa kuongelea suala hilo hawakupokea simu lkn tulipojaribu kumpigia mdau wa karibu Petiman alidai yuko kwenye besidei ya dada diamond na akitoka angetutafuta.

CHANZO :GPL

Ivi unaelewa maana ya bilion 7??? Au unaandika tu!!???
 
movie moja kwa muhind maximum mil 5 hapo hujatoa production cost na wasanii uliowashirikisha sasa atatengeneza movie ngap hadi apate bil 7? wonder never cease hey but we are in bongo nchi ya watu wenye average IQ ya 40
 
Bilioni 7......???!!!

BonGo vituko haviishi..........!!!!!!!!!!!
 
Seriously with guts!!! Them think here is same as the popular Instagram where they wake and live fakes and lies on it!!! Them babish brains strugling to live imagnary fame lifestyles rather ze Bacongolese kinda life styles!!!!the hell 7 b!!! A beg a beg!!!by the way what cosmetics line???? Which movies??? Oops as far as am concernd am not fond of such unprofesional movies!!! This na be called Madam she needs Devine intervention!!!! Rather deliverance!!!
 
B7 mzee unaweza kuihesabu kuanzia January to December na usimalize.hvyo ni vipodozi anauza au kafungua kiwanda kabisa tena siyo kimoja

Tena kiduka chenyewe kilipo kiframe cha kawaidaaaaaaa.. mwenge nyuma nyuma huko.angeenda dar freemarket au malls zingine ningeona wa maana
 
Baadhi ya watanzania wamekuwa watu wa mizaha sana sijui kasumba hiyo imetoka wapi.Yaani comedy kila sehemu.
 
Back
Top Bottom