Wema kutoka ule mpaja hadi kipaja hiki, ni ugonjwa au diet?

Wema kutoka ule mpaja hadi kipaja hiki, ni ugonjwa au diet?

Alivyokuwa vile mlisema ni mchina sasa amepungua mnasema tena ni ugonjwa, mnataka aweje?
Wakati we unadiscuss mapaja yake yeye anaishi maisha yake na anazidi kufanikiwa.
Anafanikiwa bila watoto asset ya mwafirika ni watoto!!!! Aoni zari anafyatua tu.
 
ila wanadamu hawana jema, mtu akinenepa anasemwa amekua nyumbu, akipunguza unene anatangazwa ana ukimwi.
 
Kuna wakati huwa namhurumia
She is not as happy as she used to be!
Kuna jambo linamsumbua moyoni
Sijui ni majuto au
Hata kama walipunguza utumbo sasa kwa nini anazidi kudhoofika?
Anyways ya ngoswe haya tumwachie ngoswe
 
Back
Top Bottom