Nguvu muhimu Wewe hupendi kitu kinasimama chenyewe bila kupiga jeki kina misuli misuli ? Au unapenda hao waliogeuza ulimi kama kifaa cha kufanyia mapenzi kisa nguvu za kiume hawana ?wanaume wa Dar wanajielewa wanajipenda na wanajua nn wanawake wanakitaka
Wa mikoani ni wanaume uchwara msingi miguvu tuuu!!
Hata mi nimeona neno wanaume wa mikoaniHeee hapo chini kuna habari ya wanaume wa Dar kumbe mambo haya sio Jf pekee
Kabisa. Hawa manunda ni kwamba title na content huwa havina uhusiano kbs.Tabloid trash!
Ila muendelezo wa wanaume wa mkoani unasemaje ??Hata mi nimeona neno wanaume wa mikoani
Huu ni uonevu uliopitiliza.Wanaume wa Dar!
Hehehe wazee wa chips yaiMagazeti ya namna hiyo wanasomaga wanaume wa dar na madem zao
Na mashindano ya chips yai sioAcha kabisa, achana na mwanaume anaeshindia kipande cha muhindi, alichokipaka chumvi na ndimu....
Wenyewe wanaziita "kiepe yai"Na mashindano ya chips yai sio
WA DAR HUSOMA MAGAZETI YA UDAKUMimi sitaki kuskia habari za wema kwani zimeshatuchosha.
Nataka kujua huo utofauti wa Wanaume wa Dar na wa Mikoani.
Can someone give out those differences?
Wanakusoma.Heee hapo chini kuna habari ya wanaume wa Dar kumbe mambo haya sio Jf pekee
Teh teh teh, kumbe wazamiaji wa uvinza ni sifa ya wanaume wa dar?Nguvu muhimu Wewe hupendi kitu kinasimama chenyewe bila kupiga jeki kina misuli misuli ? Au unapenda hao waliogeuza ulimi kama kifaa cha kufanyia mapenzi kisa nguvu za kiume hawana ?
Teh teh hujawaona wakijisifu oh ukizama huko unampagawisha hatari ,kama ndio kazi ya mwanaume hiyo si bora wanawake wafuge mbwa ,Teh teh teh, kumbe wazamiaji wa uvinza ni sifa ya wanaume wa dar?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaa.Teh teh hujawaona wakijisifu oh ukizama huko unampagawisha hatari ,kama ndio kazi ya mwanaume hiyo si bora wanawake wafuge mbwa ,
Mkuu wametohoa huku hilo nenoHeee hapo chini kuna habari ya wanaume wa Dar kumbe mambo haya sio Jf pekee
umesahau dodoma na dar ndio wanaongoza....mpigie UMMYwanaume wa dar ni changamoto leo nimekutana na mwanaume wa dar insta kanitongoza ananiulza eti mimi ni mdau wa KY? dar yetu imekwisha ndo maana magufuli na serikali yake wanahamia dodoma 🙄
Nilipita mahali jamaa anaagiza kiepe eti we jamaa nipe zege Mseng** kuja kuuliza nini hicho nikaambiwa ni kiepe yai ambacho hakijakaukaWenyewe wanaziita "kiepe yai"