Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

wanaume wa Dar wanajielewa wanajipenda na wanajua nn wanawake wanakitaka
Wa mikoani ni wanaume uchwara msingi miguvu tuuu!!
Nguvu muhimu Wewe hupendi kitu kinasimama chenyewe bila kupiga jeki kina misuli misuli ? Au unapenda hao waliogeuza ulimi kama kifaa cha kufanyia mapenzi kisa nguvu za kiume hawana ?
 
Haya magazeti uchwara yanaandika kuhusu wanaume wa dar kwa kukariri mambo ya jf wakati wenyewe wanachapisha hilo gazeti wapo dar,sasa sijui cha ajabu kipi wasichokijua kuhusu hao wanaoitwa wanaume wa dar.
 
Magazeti haya yanasoko jijini daslama sababu wanaume na wanawake wa mikoani hawajui kusoma... Kama gazeti halina picha nyingi wanalikwepa.
 
Nguvu muhimu Wewe hupendi kitu kinasimama chenyewe bila kupiga jeki kina misuli misuli ? Au unapenda hao waliogeuza ulimi kama kifaa cha kufanyia mapenzi kisa nguvu za kiume hawana ?
Teh teh teh, kumbe wazamiaji wa uvinza ni sifa ya wanaume wa dar?
 
wanaume wa dar ni changamoto leo nimekutana na mwanaume wa dar insta kanitongoza ananiulza eti mimi ni mdau wa KY? dar yetu imekwisha ndo maana magufuli na serikali yake wanahamia dodoma 🙄
umesahau dodoma na dar ndio wanaongoza....mpigie UMMY
 
Back
Top Bottom