Na ile audio aliyoyaongea heheheeeee
Nilifurahi sana D hakwenda kwenye partt ya Nduguye maana walipanga wamfuate wampe drama ndoa yake ivunjike
Sasa hakwenda mapicha ya kurusha insta kuwa yupo karibu nae wakayakosa...eeeeh
Diamond nakupendea pia ulivyo na kichwa haswaaa, uliwaweza.
Hadi akaishia kuyaongelea kwa audio maana si kwa alivyoringa alipokuacha Chibu, si unakumbuka mwaka juzi...ndio maisha.
Hata Idris tulijua drama tu, maana hata siku ya Bella escape one tulimuona aliingia na demu wake na hawakukaa pamoja....maisha
Diamond, Mungu azidi kuwabariki wewe na Mkewe na watoto wenu.