Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Na ile audio aliyoyaongea heheheeeee

Nilifurahi sana D hakwenda kwenye partt ya Nduguye maana walipanga wamfuate wampe drama ndoa yake ivunjike

Sasa hakwenda mapicha ya kurusha insta kuwa yupo karibu nae wakayakosa...eeeeh

Diamond nakupendea pia ulivyo na kichwa haswaaa, uliwaweza.

Hadi akaishia kuyaongelea kwa audio maana si kwa alivyoringa alipokuacha Chibu, si unakumbuka mwaka juzi...ndio maisha.

Hata Idris tulijua drama tu, maana hata siku ya Bella escape one tulimuona aliingia na demu wake na hawakukaa pamoja....maisha

Diamond, Mungu azidi kuwabariki wewe na Mkewe na watoto wenu.
 
Wema kwisha kazi makunyanzi kibao mtazame kwenye tangazo lake jipya na joti. Huu ni muda WA akina Lulu. Hamisa na wengine wapya ..
 
Back
Top Bottom