Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Wema: Kwa Diamond kutoka nashindwa

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
WEMA;asema kwa Diamond kutoka anashindwa,asema Idris a same we bure!!!
1471459753723.jpg
 
Mimi sitaki kuskia habari za wema kwani zimeshatuchosha.

Nataka kujua huo utofauti wa Wanaume wa Dar na wa Mikoani.

Can someone give out those differences?

wanaume wa dar ni changamoto leo nimekutana na mwanaume wa dar insta kanitongoza ananiulza eti mimi ni mdau wa KY? dar yetu imekwisha ndo maana magufuli na serikali yake wanahamia dodoma 🙄
 
wanaume wa dar ni changamoto leo nimekutana na mwanaume wa dar insta kanitongoza ananiulza eti mimi ni mdau wa KY? dar yetu imekwisha ndo maana magufuli na serikali yake wanahamia dodoma 🙄
Pole mi mwenyew niliijua hiyo ky kupitia mwanaume wa dar maana hata nilikuwa siijui wala matumizi yake
 
wanaume wa dar ni changamoto leo nimekutana na mwanaume wa dar insta kanitongoza ananiulza eti mimi ni mdau wa KY? dar yetu imekwisha ndo maana magufuli na serikali yake wanahamia dodoma 🙄
Teh teh teh...!!!
 
Habari zao hayo magazeti ya udaku siziamini hata kidogo, labda ni yatumie kwa ajili ya kunikumbusha tarehe na siku husika basi
 
Heee hapo chini kuna habari ya wanaume wa Dar kumbe mambo haya sio Jf pekee
 
Back
Top Bottom