Vyote sawa kutegemea na muktadha.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Salaam.....Vyote sawa kutegemea na muktadha.
Ni kama kusema nimevurugwa na nimevurugika.
I'm Westernized unasema umefanywa kuwa kimagharibi. Msisitizo ni -ized kwamba umefanywa kuwa hivyo.
I'm very Western unaeleza ulivyo. Uko Kimagharibi zaidi.
I'm very local. I'm very localized.
I'm very Swahili. I'm very Swahilized.
I'm very English. I'm very Anglicized.
Zaidi ya nini?I'm very Western unaeleza ulivyo. Uko Kimagharibi zaidi.
Ya chochote kile kilicho katika muktadha. Kama hapo maongezi ni ya katika jamii ya Waswahili, muongeaji akisema hivyo, kwa muktadha, atachukuliwa kwamba anasema yeye anajinasaba na umagharibi zaidi ya mswahili wa jedwali la kawaida.Zaidi ya nini?
Longolongo za mji huu...ndio maana zawadi za birthay zimekaukaJamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Ya chochote kile kilicho katika muktadha. Kama hapo maongezi ni ya katika jamii ya Waswahili, muongeaji akisema hivyo, kwa muktadha, atachukuliwa kwamba anasema yeye anajinasaba na umagharibi zaidi ya mswahili wa jedwali la kawaida.
Sijaangalia video. Kwangu si muhimu hivyo. Kwa muktadha zaidi angalia video.
Sijui alichosema kwa sababu, kama nilivyoandika awali, sijaangalia video. Nimefafanua maneno mafupi tu yaliyoletwa.Kwa hiyo ina maana anasema anajinasaba na uswahili pia?
Sijui alichosema
Nimefafanua maneno mafupi tu yaliyoletwa.
Unataka kuhukumu habari za maneno marefu zinazotaka muktadha kwa maneno mafupi yasiyo na muktadha?Kwa maneno mafupi yaliyoletwa, anaposema "I am very Western" anajinasaba na uswahili pia?
Mkuu hua mara nyingi naogopa kukujibu lakini kwa kuwa umeomba clarification, here comes:Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Asante mkuuMkuu hua mara nyingi naogopa kukujibu lakini kwa kuwa umeomba clarification, here comes:
Kama tukitumia neno Western kumaanisha Uzungu (katika mila na desturi) basi jibu ni hivi.
"I am westernized" ni kwamba yeye ni M'bongo lakini ana tabia za kizungu.
"I am western" ni kwamba yeye ni mzungu (kwa mila na desturi) ingawaje anaishi bongo.
It is a mind set. Both are correct.
I'm very westernized.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
AhsanteMkuu hua mara nyingi naogopa kukujibu lakini kwa kuwa umeomba clarification, here comes:
Kama tukitumia neno Western kumaanisha Uzungu (katika mila na desturi) basi jibu ni hivi.
"I am westernized" ni kwamba yeye ni M'bongo lakini ana tabia za kizungu.
"I am western" ni kwamba yeye ni mzungu (kwa mila na desturi) ingawaje anaishi bongo.
It is a mind set. Both are correct.
Unataka kuhukumu habari za maneno marefu zinazotaka muktadha kwa maneno mafupi yasiyo na muktadha?
Kwangu mimi,none of the above. Labda ungesema I am very civilised. Westernised ni neno la kutukuza Umagharibi wakati ustaarabu umeenea duniani pote sasa.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Hapo ni suala la verb na adverb mkuu.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
hapana hapo anajitoa katika unasaba wa uswahili ,yeye iko zungu zaidi si swahili yeye !nyambavu zake nywele ngumu pauchi sugu yule!Kwa maneno mafupi yaliyoletwa, anaposema "I am very Western" anajinasaba na uswahili pia?