Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Vyote sawa kutegemea na muktadha.Jamani mlioingia madarasani nisaidieni, I'm very westernized or I'm very western?
Ni kama kusema nimevurugwa na nimevurugika.
I'm Westernized unasema umefanywa kuwa kimagharibi. Msisitizo ni -ized kwamba umefanywa kuwa hivyo.
I'm very Western unaeleza ulivyo. Uko Kimagharibi zaidi.
I'm very local. I'm very localized.
I'm very Swahili. I'm very Swahilized.
I'm very English. I'm very Anglicized.