Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Mange amethibitisha hii stori?Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV
Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana sapoti kwenye kazi
Pia amejibu kumkumbatia Diamond ndio kulikosasababisha Zari amuache na kusema Zari alikuwa na sababu kibao za kumuacha Diamond na sio sababu ya yeye kumkumbatia
bahati mbaya graph ya Wema inashuka kwa kasi ya kimondo huku graph ya Diamond ikipanda kwa kasi ya kishada yaani wanapishana kwa speed ya 4g. diamond akiwa na WQema ni kujishusha chati wakati Wema kuwa diamond ni kupanda chati... ningekuwa Mond ningeanza kumuita wema dada yangu.wema anampenda sana diamond uso wake unaeleza hivyo
Watu na mibahati yaoMmmmh kwa wema kapata grisi
Heee ...muache mange anaenjoy Birthday day yake now!Da mange basi sema lolote.
Kuwa na Subira ipo siku utafanikiwa tu mkuu, huyo wema huko wasafi akimaliza miaka miwili nistue, la sivyo atavuruga wenzie na kusababisha waache kazi, maana atajifanya first lady, yeye ndiye mwenye uchungu na wasafi TV, yaani diamond hapo kachemka hakutakiwa kumpa kazi huyo mtu, Bora hata angempa pesa afanye shughuli zake mwenyewe sio kumwingiza ktk biashara zaketunahaha na bahasha za uandishi wa habari kina sepenga wanakula shavu tu
kinaendelea kukuchomaHahaha "chemistry " my foot aendelee kuvuliwa pichu tuu but just remind her madale ni gest house wataingia kwa foleni
kwani wew shetani babaako ?? acha chuki ndala weNamchukia uyu kahaba
Sijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Maajabu ya Watanzania!Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Nikiona ID yako na ulichokiandika naona kama havihusiani. Siyo mwanaume wa Dar kweli wewe ?Mange alikuwa hajuwe ilo mamaa ubaya mama shetani mange