Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV

Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana sapoti kwenye kazi

Pia amejibu kumkumbatia Diamond ndio kulikosasababisha Zari amuache na kusema Zari alikuwa na sababu kibao za kumuacha Diamond na sio sababu ya yeye kumkumbatia


Mange amethibitisha hii stori?
 
Hiyo tv iko kwenye kingamuz gani au iko analojia?
 
wema anampenda sana diamond uso wake unaeleza hivyo
bahati mbaya graph ya Wema inashuka kwa kasi ya kimondo huku graph ya Diamond ikipanda kwa kasi ya kishada yaani wanapishana kwa speed ya 4g. diamond akiwa na WQema ni kujishusha chati wakati Wema kuwa diamond ni kupanda chati... ningekuwa Mond ningeanza kumuita wema dada yangu.
 
tunahaha na bahasha za uandishi wa habari kina sepenga wanakula shavu tu
Kuwa na Subira ipo siku utafanikiwa tu mkuu, huyo wema huko wasafi akimaliza miaka miwili nistue, la sivyo atavuruga wenzie na kusababisha waache kazi, maana atajifanya first lady, yeye ndiye mwenye uchungu na wasafi TV, yaani diamond hapo kachemka hakutakiwa kumpa kazi huyo mtu, Bora hata angempa pesa afanye shughuli zake mwenyewe sio kumwingiza ktk biashara zake
 
Anaweza akafit,mimi mwenyewe sikuamini Giggy money angeweza kuwa mtangazaji wa Choice FM .
 
Hahaha "chemistry " my foot aendelee kuvuliwa pichu tuu but just remind her madale ni gest house wataingia kwa foleni
 
wale timu Kiba100 walikuwa wamehamia kwa wema ili kumkomoa Domo ..sijuwe wanajisikiaje sasa.. na mango kitambi sijuw ataandika nini kesho
 
Alishalivutjani la Arusha hiyo anatafuna inatoa harufu
Sijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
 
Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Maajabu ya Watanzania!

Hii Wasafi tv si nimesikia ya Joseph Kusaga?! Au wengine si wanasema ya Makonda?!

Sasa kama kufilisika si atafilisika Kusaga au Makonda?!

Na ikiwa kufilisika atafilisika Kusaga au Makonda; kitakachowafanya WCB warudi kijijini kulima mihogo ni nini?! wataendelea na muziki; au?!

Halafu wapiga ramli zinazohusu kuporomoka kwa Diamond mnaibia watu! Yaani tangu muanze kubashiri kuporomoka kwake; miaka 5 imepita lakini jamaa yupo pale pale!

Aisee mna moyo....
 
Back
Top Bottom