Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Hivi wema anatofauti na wale sleeper wa kona?

Kama unamaanisha ana uhusiano na yule wa Jeeper Creepers inaweza kuwa sawa pia.

Yaani hule jamaa hupaa akinyakua watu na kutokomea nao hewani.
 
Siyo yuko pale pale tu bali anazidi kutoboa
 
Naiona MIC ya Le akili Kubwaziiii,mobimba nye nye nye, kokubanga, Le baharia, Le wabebezi, super mtindiz hahah
 
Mtazamo wako tu mkuu
Si busara,si nidhamu kutafuna kitu chochote wakati unaongea na mtu yeyote achilia mbali vyombo vya habari zaidi ya vinne vinavyomhoji.Haipendezi yaani inshort ni tabia mbaya tena chafu sana.
 
kwani wema kasomea uandishi wa habari au anapewa kwa vile alikuwa ni kiburudisho cha almasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…