Kumuona domo live?...lioneni hili lishamba la nanjilinji[emoji15] [emoji15] [emoji15]Unamsemea diamond kana kwamba umewahi kumuona live mmmh! Hii dunia hii.
Ha ha ha hizi sifa za kijinga hovyo sana kwa hiyo kakuambia anampenda nani kuliko nani?lolKumuona domo live?...lioneni hili lishamba la nanjilinji[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Domo tunashinda nae Sinza mori tunapiga stori au unadhani ni R. Kelly huyu!...kweli wa mkoa wa mkoani tu!
AmeshazeekaAmeshachoka sahizi, ule uzuri wote umeshachuja
Hamissa?? No dear!! Domo anampenda Wema kuliko Hamissa. Hata hamissa anajua ilo na hata iwe vipi hamissa hawezi kuwa main chick wa mond!!We angalia madongo ya Zari Snapchat yanaelekezwa wapi?
Matunzo ya mtoto? Si hamisa alitaka milioni 5? Wee hata angekuwa mimi anipeleke tu mahakamani
Kwahiyo wamerudiana?Hamissa?? No dear!! Domo anampenda Wema kuliko Hamissa. Hata hamissa anajua ilo na hata iwe vipi hamissa hawezi kuwa main chick wa mond!!
Tukubali tukatae Zari anamuhofia zaidi Wema kuliko Missa
Sina uhakika ila kwa yanayoendelea nahisi.Kwahiyo wamerudiana?
Inaelekea utamu wa Naseeb anao wema.. Halafu kweli nimeamini kipochi manyoya hakina makombo wala hakichachi kwa umpendayeWema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV
Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana sapoti kwenye kazi
Pia amejibu kumkumbatia Diamond ndio kulikosasababisha Zari amuache na kusema Zari alikuwa na sababu kibao za kumuacha Diamond na sio sababu ya yeye kumkumbatia
I hate these two, yaani sitakagi hata kuwasikia living in this country. I just hate them, sijui sababu lakini.Inaelekea utamu wa Naseeb anao wema.. Halafu kweli nimeamini kipochi manyoya hakina makombo wala hakichachi kwa umpendaye
Nini icho etii?? Ulisoma ulivoandikakinaendelea kukuchoma
Naunga mkono hoja, she got such a romantic voice I wish ndo ingekuwa sauti ya mama chanja wangu[emoji13] [emoji39]Kama atapewa kipindi cha Ucku itakuwa poa Sana Alaf Diva atapunguza nyodo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naunga mkono hoja, she got such a romantic voice I wish ndo ingekuwa sauti ya mama chanja wangu[emoji13] [emoji39]