Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Unamsemea diamond kana kwamba umewahi kumuona live mmmh! Hii dunia hii.
Kumuona domo live?...lioneni hili lishamba la nanjilinji[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Domo tunashinda nae Sinza mori tunapiga stori au unadhani ni R. Kelly huyu!...kweli wa mkoa wa mkoani tu!
 
Kumuona domo live?...lioneni hili lishamba la nanjilinji[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Domo tunashinda nae Sinza mori tunapiga stori au unadhani ni R. Kelly huyu!...kweli wa mkoa wa mkoani tu!
Ha ha ha hizi sifa za kijinga hovyo sana kwa hiyo kakuambia anampenda nani kuliko nani?lol
 
We angalia madongo ya Zari Snapchat yanaelekezwa wapi?

Matunzo ya mtoto? Si hamisa alitaka milioni 5? Wee hata angekuwa mimi anipeleke tu mahakamani
Hamissa?? No dear!! Domo anampenda Wema kuliko Hamissa. Hata hamissa anajua ilo na hata iwe vipi hamissa hawezi kuwa main chick wa mond!!

Tukubali tukatae Zari anamuhofia zaidi Wema kuliko Missa
 
Hamissa?? No dear!! Domo anampenda Wema kuliko Hamissa. Hata hamissa anajua ilo na hata iwe vipi hamissa hawezi kuwa main chick wa mond!!

Tukubali tukatae Zari anamuhofia zaidi Wema kuliko Missa
Kwahiyo wamerudiana?
 
Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV

Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana sapoti kwenye kazi

Pia amejibu kumkumbatia Diamond ndio kulikosasababisha Zari amuache na kusema Zari alikuwa na sababu kibao za kumuacha Diamond na sio sababu ya yeye kumkumbatia

Inaelekea utamu wa Naseeb anao wema.. Halafu kweli nimeamini kipochi manyoya hakina makombo wala hakichachi kwa umpendaye
 
haya sasa ni muda wa dai kula k buree. mbuzi kajileta mwenyewe machinjioni
 
Inaelekea utamu wa Naseeb anao wema.. Halafu kweli nimeamini kipochi manyoya hakina makombo wala hakichachi kwa umpendaye
I hate these two, yaani sitakagi hata kuwasikia living in this country. I just hate them, sijui sababu lakini.
 
Naunga mkono hoja, she got such a romantic voice I wish ndo ingekuwa sauti ya mama chanja wangu[emoji13] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlishe mama chanja pilipili za kutosha saut nyororo itakuja tu[emoji12]
 
Back
Top Bottom