jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Ata Mimi ameniboaSijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata Mimi ameniboaSijui kama kavidharau vyombo vinavyomhoji ama nini, lakini nilipoona anatafuna Big G kwenye mahojiano ya vinasa sauti zaidi ya vitatu nikaacha kuangalia hiyo clip.
Sijaelewa mkuu...nimeona MbuluMbulu Kenge..... Katelelo Pwaaaaa Pwaaaaahhh
True love never die mkuukati ya vitu ambovo mondi amekosea ni [HASHTAG]#kumuajiri[/HASHTAG] huyu dada yan wema ilitakiwa awe mtazamaji tu wa hyo media cjui wanaume [HASHTAG]#wamelogwa[/HASHTAG] na nani,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] coco mbona kama povuKaongeaaa sana wee blah blah blah.. kashindwa tu kusema kuwa wapo wote kimapenzi pia.. chemistry... Zari kamuachia uwanja sasa na watanue vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mapenzi ya kweli hayajifichi na matendo tu ndo yanadhihirisha upendo wa kweli, hivi MTU anakupenda mtapelekana polisi kwa kutotoa matunzo ya mtoto?Hakuna kitu kwa Wema..Domo anamkubali sana hamisa, na huyo demu ndo kamfanya Zari kamwaga manyanga trust me!
We angalia madongo ya Zari Snapchat yanaelekezwa wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mapenzi ya kweli hayajifichi na matendo tu ndo yanadhihirisha upendo wa kweli, hivi MTU anakupenda mtapelekana polisi kwa kutotoa matunzo ya mtoto?
Ni Mange mkuu sio Mangi ma.ninaMangi Kimambi ndio anajua nini cha kusema.
Kama ulimsikiliza zari BBC alisema alikuwa anataka wajaribu kumove forward baada ya tukio la kuzaa na hamisa( means hilo la hamisa halikumuuma sana) lakn alipoona video ya wema na mond ndo akamblock mond kwa maana ile ilimuumiza zaidi ya hamisa , halafu kwani mond hana uwezo wa kutoa million 5 kwa mwez na hata zaidi? Sasa mwanaume anakupend a kweli atakataa kukupa mpaka mpelekane mahakamani?? Haimake sense shost mapenzi ya kweli ya mond yapo kwa wema Trust me na ndo MTU ambaye anakuwa huru nae kuliko MTU yeyote.. Angalia picha na video zote akiwa na wema utagundua kituWe angalia madongo ya Zari Snapchat yanaelekezwa wapi?
Matunzo ya mtoto? Si hamisa alitaka milioni 5? Wee hata angekuwa mimi anipeleke tu mahakamani
Ni Mange mkuu sio Mangi ma.nina
Dua LA kuku halimpati mweweWasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Unamsemea diamond kana kwamba umewahi kumuona live mmmh! Hii dunia hii.Hakuna kitu kwa Wema..Domo anamkubali sana hamisa, na huyo demu ndo kamfanya Zari kamwaga manyanga trust me!
Wasafi haina muda mrefu itakufa kifo cha mende
Unaajiri watu kwa sababu ya mahusuano na sio talent elimu na work experience basi wajiandae kuanza kulima mihogo na magimbi
Chuki? Haya Mungu huna?Namchukia uyu kahaba
Sio biologyKuna kaneno amekasema "chemistry" sasa hapo tena unaendelea kuuliza kama kuna kitu.Pia amesema Wao ni OFF &ON katika mahusiano yao.Hawa hawawezi kuachana kabisa maana wan Chemistry kati yao