Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

niandikie tena niende sasa hivi
1517243772964.png
 
Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.

watu hawaogopi hayo
 
Ila dai kazidi umalaya. Yaan ukipata pesa nyingi bado kijana mdogo zinaweza kukumaliza ama kukusaidia. Dai ana akili sana ila kashindwa sehem ndogo sana. Ni dhaifu kwa wanawake hakuna mfano. Nlipata kuona clip utube dai huwa akiwa wasafi studio nje huwa kuna waschana kama 20-30 wakimsubiri nje akitoka wajaribu bahati zao. Sasa hapo ndo huwa shida na alivyo mroho najua tu huwa anachagua mmoja wa kuondoka naye. Juzi nimeona clip kuna kitoto unaer18 amelala nacho usiku kucha wakazinguana asubuhi baada ya kujiselfie maeneo ya madale white house AKA madale gesti hausi
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Ata kama la kupangwa ndio kwa X wake????
 
Back
Top Bottom