Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Tunashughulishwa na ya wenzetu yakwetu yanatupita. Tuwe marafiki Wa nyoyo zetu kwanza, kila binadam amezaliwa kwa muda wake, na kufa hivo hivo, kwanini tushabikie ya wenzetu tena maovu??. (Uzinifu?). Tuwaombee tu wamjue. MUNGU
 
Weeeee nituee mzigo,,,zari alipokuwa huko kwao wala hata alikua hapodolewi vyema,alivyokuja bongo ndio kapodolewa na kupendeza zaidi,zamani alikuwa na ule wanja wake kama kona ya piza,nimeanza kumfatilia zari zamani mnoo
Utakua shabiki yake that why unamfatilia sana..kataa mdomoni unamkubali kimoyo moyo
 
Mpira umerudi kwa kipa! kama namuona mabutu mkomao alivo vuta kile kidomo mfelembo
 
Kabisa masudi kipanya alishakili kua insta imepooza kipindi kile kafungiwa....yule Dada anaongoza mimi naweka bando kwa ajili ya mange sio sili.

Anafurahisha apoapo anakera apoapo anafundisha kingine anajua kupangilia maneno. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akiamua kuchekesha sasa ana vituko sana mange,akichamba utakufwa mbavu
 
Haha...kwa hiyo unalinganisha kushikwa chuchu..na kutolewa bikra...?
Kama mwanamke uliyemuoa kwa kumkuta na bikra akiamua kujirejesha kwa aliyecheza nae kibaba baba na kimama mama atajirejesha tu! Bikra si kipimo cha uaminifu kwa mwanamke aliyeamua kufanya dhahma lake
 
Back
Top Bottom