Alafu mange anakwambia zari na ile Tim yake ya basketball ataipeleka wapiTimu zari watawehuka nakuambia,ila zari ana moyo mpana kama pazia,avumilie tu miaka 50 ataenda wapi atabanana hapo hapo
Nilicheka sanaAlafu mange anakwambia zari na ile Tim yake ya basketball ataipeleka wapi
Utakua shabiki yake that why unamfatilia sana..kataa mdomoni unamkubali kimoyo moyoWeeeee nituee mzigo,,,zari alipokuwa huko kwao wala hata alikua hapodolewi vyema,alivyokuja bongo ndio kapodolewa na kupendeza zaidi,zamani alikuwa na ule wanja wake kama kona ya piza,nimeanza kumfatilia zari zamani mnoo
Ana maneno ya kuudhi na kuchoma moyo yule Dada....huwa nainjoi some time napendag niwe nasoma ipi nisije kula blockNilicheka sana
Sana mange akipotea insta hakun radha kabisaAna maneno ya kuudhi na kuchoma moyo yule Dada....huwa nainjoi some time napendag niwe nasoma ipi nisije kula block
Zao la lumumba hao akili zao matope kabisa!...kumbe ni kiki?.....
Kabisa masudi kipanya alishakili kua insta imepooza kipindi kile kafungiwa....yule Dada anaongoza mimi naweka bando kwa ajili ya mange sio sili.Sana mange akipotea insta hakun radha kabisa
Akiamua kuchekesha sasa ana vituko sana mange,akichamba utakufwa mbavuKabisa masudi kipanya alishakili kua insta imepooza kipindi kile kafungiwa....yule Dada anaongoza mimi naweka bando kwa ajili ya mange sio sili.
Anafurahisha apoapo anakera apoapo anafundisha kingine anajua kupangilia maneno. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na katika hio chain hakosekani mwenye ngwengweeWema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
Lemutuz hadi leo hana ham yupo kama hayupoAkiamua kuchekesha sasa ana vituko sana mange,akichamba utakufwa mbavu
Haha...kwa hiyo unalinganisha kushikwa chuchu..na kutolewa bikra...?Hakuna bikira ambae hajawahi hata kushikwa chuchu, hivyo akiamua kumrejea mshika chuchu zake wa kwanza atamrejea tu
Mbona x mass ilishapita hili gauni lake akaliweke kabatini mpaka next x-massila wema juzijuzi nasikia alibreak internet na gauni moja la designer wake matata, inaelekea mondi moyo ukashtuka akaona asiache zigo arudi tena..
Kama mwanamke uliyemuoa kwa kumkuta na bikra akiamua kujirejesha kwa aliyecheza nae kibaba baba na kimama mama atajirejesha tu! Bikra si kipimo cha uaminifu kwa mwanamke aliyeamua kufanya dhahma lakeHaha...kwa hiyo unalinganisha kushikwa chuchu..na kutolewa bikra...?
Utakua shabiki yake that why unamfatilia sana..kataa mdomoni unamkubali kimoyo moyo