Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kuna picha ntakurushia 2000 zari alikua na miaka 31 nadhan alikua anasherehekea siku yaie ya kuzaliwaHaa 50?
Jamani ila Zari anamuhitaji Diamond sana kuliko Diamond anvyomhutaji Zari.
Anahitaji fame,money and Company.
Sipo upande wowote kwa wema napo sipowema na zarina ni vitu viwili tofauti............. huyu mmoja ni mama wa mwenye watoto na familia huyu mwingine ni mama mdangaji ambsye mpaka uzee wake huu hajaanza familia maisha yake makuu ni ig zari hajapungukiwa na nitu huyu bibi wa kinyaturu ako na safari ndeefu ataishia kuliwa kalio la kichainis bhaaaaaaaaaas
beauty with no brains @all
Alafu hakuwa mweupe kiasi hiki.Kuna picha ntakurushia 2000 zari alikua na miaka 31 nadhan alikua anasherehekea siku yaie ya kuzaliwa
yeahh sasa jeee safi sana kudanga kwa faida sasa huyu kishkwambi wenu niaje anatupia kwa toilate ama ni aje?Hakuna mdangaji kumzidi Zarina Africa Mashariki.
Wametofautiana kuzalisha return za udangaji wao.
Mtalaka hatongozwiyes shem wangu, salamu ya wapenzi wa zamani haiwezi kuwa ya juu-juu kama wamekutana barabarani,
Ok nitarudi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu kanywe chai kwanza halafu tuone kama hiyo bado itaendelea kuwa point.
Ameshawapita na wazungu sijui anataka awe aje khaa,crema za SA wenzenu hawachomwi na jua kaliAlafu hakuwa mweupe kiasi hiki.
Kila mwaka anazidi kuwa mweupe kushinda waarabu.
Ninadhani mida hii ana mkumbuka sana marehemu Ivan.Bibi tukinao atakufwa kwa msongo wa mawazo,mwaka umeanza vibaya kwa upande wake,ila dai anajua kumuumiza sana Tukinao
Hivi hujagundua km hawanyonyeshi watoto,, IPO siku hamisa zikimjia atasema km wameshaambukizanaWema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
[emoji23][emoji23] mkuu salamu gani hiyo ya kuinamiana na kunong'onezana?mbona sijaona tatizo hapo, Au Diamond haruhusiwi kusalamiana naye??