Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

wema na zarina ni vitu viwili tofauti............. huyu mmoja ni mama wa mwenye watoto na familia huyu mwingine ni mama mdangaji ambsye mpaka uzee wake huu hajaanza familia maisha yake makuu ni ig zari hajapungukiwa na nitu huyu bibi wa kinyaturu ako na safari ndeefu ataishia kuliwa kalio la kichainis bhaaaaaaaaaas

beauty with no brains @all
Sipo upande wowote kwa wema napo sipo
 
Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
Hivi hujagundua km hawanyonyeshi watoto,, IPO siku hamisa zikimjia atasema km wameshaambukizana
 
Inawezekana ni tukio la kupangwa, ila nadhani demu ni madhaifu sana kiasi kwamba jamaa angefungua zipu pale, demu alikuwa tayari kupiga BJ, bila kujua yupo hadharani.
Nini bj hata mzigo angetoa pale.
 
Back
Top Bottom