Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kuna picha ntakurushia 2000 zari alikua na miaka 31 nadhan alikua anasherehekea siku yaie ya kuzaliwaHaa 50?
Jamani ila Zari anamuhitaji Diamond sana kuliko Diamond anvyomhutaji Zari.
Anahitaji fame,money and Company.