Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujanielewa basi ukae kimya tu walionielewa wamenielewaa sheikh wangu! Mwanamke akiamua kula matapishi anakula tu hata kama unampa vinono kiasi ganiKumbe bikra ni yule ambaye hajawahi kushikwa chuchu? Je alishikwa kwa hiari au Kwa kuviziwa?
hilo jina limenishtua !Huo udada wa taifa unamaanisha nini Mzigua90
Yes ndiye yeyeHuyo huyo
Mbona wanaonaga mama anashikwa shikwa na mabusu. Diamond kajua kumdhalilisha Zari.Anajiposti kila day[emoji23]kwanza bibi yule na umri wake kutupostia picha kavaa vichupi vya kuogelea haoni kama anajidharirisha ilhali anajua wanae wakubwa wale wapo insta wanaona mama kavaa kichupi na kisidiria,tako nje uwiiii
Ahahahahah atakuwa hapendi anapenda rangi za mtumeSema dai ana upendeleo saaana,toka amekua star sjawah kusikia amegegeda mwanamke mweusi kama sio upendeleo ni nini[emoji23][emoji23]hakuna hata mweusi mmoja alietuwakilisha sisi watu weusi jamani[emoji23]
Niambie tuBado hujajua shoga angu nikwambie?
Nakuja sasa hivi kukupaHalafu hukunipa feedback ile mambo
Haya sheikh wangu nimekaa kimyaKama hujanielewa basi ukae kimya tu walionielewa wamenielewaa sheikh wangu! Mwanamke akiamua kula matapishi anakula tu hata kama unampa vinono kiasi gani