Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Kumbe bikra ni yule ambaye hajawahi kushikwa chuchu? Je alishikwa kwa hiari au Kwa kuviziwa?
Kama hujanielewa basi ukae kimya tu walionielewa wamenielewaa sheikh wangu! Mwanamke akiamua kula matapishi anakula tu hata kama unampa vinono kiasi gani
 
Anajiposti kila day[emoji23]kwanza bibi yule na umri wake kutupostia picha kavaa vichupi vya kuogelea haoni kama anajidharirisha ilhali anajua wanae wakubwa wale wapo insta wanaona mama kavaa kichupi na kisidiria,tako nje uwiiii
Mbona wanaonaga mama anashikwa shikwa na mabusu. Diamond kajua kumdhalilisha Zari.
 
Wanasemaga usimtupe jongoo na kijiti chake utawashia hata moto ndo huku sasa naona wameamua kutumia vijiti vyao kuwashia moto tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom