Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Mkuu huo ni mlango wa kanisa haina haja ya kupiga hodi..Unaingia tu..Labda unifanyie mpango kwa Hamisa Mobeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Mkuu huo ni mlango wa kanisa haina haja ya kupiga hodi..Unaingia tu..Labda unifanyie mpango kwa Hamisa Mobeto
Teh teh..Wiki kubwa..Hiyo pesa inaisha hata rangi ya pichu yake huijui
Teh teh..Wiki kubwa..Hiyo pesa inaisha hata rangi ya pichu yake huijui
wema ni zaid ya isidingoHa ha ha, nilijua baada ya mimba ndo mwisho, kumbe bado kuna episode zinaendelea mkuu.
hahah hahah huyu dada amelitia shirika hasara kubwa sana,kidogo lifirisike kabsa
ahahaahah, wapenzi wa lulu wanajulikana baada ya kufaIla utamsikia tuu aliyekuwa mpenzi wa Lulu amekufa 😉😉😀😀
It's me or Mbwana Samata loading....Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Huyo mbona alishamuibukia akala za mbavu may be aende na mbinu mpyaNext ni yule billionaire wa social media, mzee wa downtown.
Mbwana samatta;It's me or Mbwana Samata loading....
Aliashakataliwa kitambojamani baharia hawezi ule mziki labda kama kupiga selfie,baharia mwenyewe njaa na yy anadandia kwa masupa bilioneazz
Ah lulu namba nyingi idris alivyotoka bba ndo akamvuta wakafanya yao kimya kimyaMapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja