Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
Teh teh..Wiki kubwa..Hiyo pesa inaisha hata rangi ya pichu yake huijui
 
Kuna mdau mmoja aliyeamini kwamba UKIMWI ulikuwa ni kwa ajili ya watu wa Makete na Kagera tu na nilivyompa takwimu za karibuni ndipo akashangaa kuona maeneo yanayoongoza kwa maambikizi kwa sasa ni mengine tofauti kabisa!
 
Kajinga kake kanataka kushindana n.a. mtoto wa tandale utashindana n.a. mwanaume utaweza We a wapi kama kweli ulikuwa unampenda mfurahie huko aliko
 
Kapata Dr. Mwakha mwingine wa kukung'uta zile kuta za kei.
Huyu hatazaa, miscarriages ziko all over. Ange adopt tu mtoto kisha akaendelea kugawa.
 
Hii ni ishara tosha kwamba ule wimbo wa True Boy haukustahili kufungiwa
 
hahahahaha na cheka hilo jibu la miguu tu, dah! yaan jamaa kamwaga pwaaaaaa
 
Mapenzi haya ya mitandaoni ni shida tu,maneno ya mahaba yote yale waliyoandikiana? Ni bure kabisa.ka lulu kajanja,yeye huwa kanakula kimya kimya.humuoni mpenzi wake kwenye mtandao hata siku moja
Ah lulu namba nyingi idris alivyotoka bba ndo akamvuta wakafanya yao kimya kimya
 
Idriss alichokosa ni pesa atafute pesa kwanza
 
Wema na idriss wanacheza na akili za watu.....

Ukiangalia snapchat za leo nahisi hawajaachana.

Maana idriss anatania khs oocha zake kufutwa halafu wema kaposti sauti zinaenda haraka ila moja kama ya idriss

Walikuwa wanatafuta kiki tu hao na wameipata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…