Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye kumiss miguu iliyopinda kama kamtukana hivi.
 
Daah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
Kipindi kile cha Tyson inabidi ulipe kiingilio alafu uwahi kuangalia utangulizi, ukisubiri pambano lenyewe imekula kwako make sekunde ya 30 kashamaliza pambano.
 
Kasema haweki picha zake mtandaoni hadi June ha ha ha ha ha
 
Kuna audio moja ilikuwa ya kumdiss diamond kwa kumvisha pete wema idriss
angeisikiliza kabla asingeparamia kutaka sijui kuzaa kummimba nk angekamua na kukaa pembeni angejisikia tena angekamua na kujiiba daahh ile audio imeeleza kila kitu kuwa huyi demu ni

wa ku.......wa!! Na huwezi mmiliki mwenyewe wengine waka......be wapi??? Khaa kuna maneno nimesahau ila kuna watu wanaombea waachane we walishindwa kina jumbe sijui nani nani na nani......ndo wee uje uoe ahh those days of BBM ilikuwa uchizi sana
 
Wema washauri wenyewe ndo kina mange kima wanaomwambia atafute bwana mwenye pesa. Yani mange anafikiriaga wanaume wenye pesa tuu. That woman is a super gold digger, Ndo hawa wanaume wakifilisika wanawakimbia. Afu hivi mbona siwasikiagi wale dada zake wema kina Tunu sijui, Suna. Ni mange tuu ndo biti kilanga na ushauri wake wa kibwege afu on public
 
Ha ha nilisoma sehemu eti idris ana sura ndefu kama panga, nilicheka sana

Kama wema alishindwa kutulia kwa Platnumz na hela zake zote na kuhongwa hadi Morano na maisha ya kistar kuliko wotee hatatokea mwanaume wa kumtuliza...huyo ni chawoteee na kinaombeka

Platnumz alijiimbia kwenye NATAKA KULEWA tukadhani utani
 
Wema ukitenda sana.....pita zako, usilale nyumaaa!!!!!....Usikubali zawadi, ...wemaaaa!!!!! Wema kum*ny*koooo!!!!
 
"... Madam Wema masikini & vibopa yeye anawapa mdudu wa karne, Mapedeshee wanapangwa toka ukonga hadi ubungo"
 
Akipata Bwana Mjanja na Mafia angemtafutia Mabibi wa Kikurya wanaokeketa kila kisimi kwa kucha zao za dole gumba angepunguza speed ya kukikodisha kwa wasuguaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…