pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Hapo kwenye kumiss miguu iliyopinda kama kamtukana hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi kile cha Tyson inabidi ulipe kiingilio alafu uwahi kuangalia utangulizi, ukisubiri pambano lenyewe imekula kwako make sekunde ya 30 kashamaliza pambano.Daah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
Kasema haweki picha zake mtandaoni hadi June ha ha ha ha haWema amekaribia kujaza basi la 5 daimond na zari lazima wanachekaje hukoo ,yaan mwanaume hata mwaka hauishi mshaachana ,na ma interview yote Yale wema Ana gundu,hapo anadhihirisha kua ye ndio mwenye makosa maana idrisa ni mwanaume ,
tunasubiri mwingine sijui atakua ni Sammata hhhhhaaaaaa
Ashapigwa kipapaiHuyu Wema mi simuelewi, akiongea unaweza muonea huruma
Teh kazanamimi nasubiri kuona atakayepokea kijiti atakuwa ni nani???
may be ninaweza kuwa ni mimi maana anavyojiweka karibu na mimi kipindi hiki..😀😀
"...Wema anahangaika na mi dudu"Kumekucha insta!
Wema Sepetu amefuta picha zote za Idriss kwenye akaunti yake ya Instagram, hii inaweza kua ni kiashiria kingine cha kuachana kwa wapenzi hawa.
"... Madam Wema masikini & vibopa yeye anawapa mdudu wa karne, Mapedeshee wanapangwa toka ukonga hadi ubungo"Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"
Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
Teh! Teh! Teh!."dr mwaka" kaachwa solemba teh teh teh teh......usicheze namalay.a wa bongo muvi hatare.!!
Hivi Samatta anarudi lini BongoCan anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris