Best ninapenda umbea mpaka ninachelewa majukumu.
Yaani hayari sanaRaisi wa wajinga ulitegemea ataitwa nani?
Yallllaaaaahhh
Ha ha ha yani mashabiki wa wema akili zao eeeh
- wemasepetuSome stories are better left untold.... This Pic Tho... -@luismunana
- wemasepetu Is my WCW.....
- may_decuteBora ulivyo rudiana na luis kuliko yule migulu pande huyu anamwonekano kama diamond lop wema❤
Kwani mwenye thread amekutag???Haya ma thread mengine hayatuhusu
Mie mwenyewe napenda umbea mnoooBora useme wewe, si angepita kimya kimya tu. Wengine umbea ni sunna.
Page ya Idriss kule insta ameandika Kiarabu ndiyo ameniacha Ubongo stand, lakini waja wanasema inamaanisha 'ndiyo nani huyo, simtambaui'. Mimi nilikuwa ninajiuliza hivi huyu Idriss anaroho gani, mama ubaya anamuongelea baba ubaya kwenye media live?Mie mwenyewe napenda umbea mnooo
Kwahiyo wameachana au kik tu hawa nao, ili munana akimrudia wema atakua zombie sana
Fanya hivi nenda kwenye post aloandika kiarabu.. shuka chini kwenye hiyo post utakuta kitu kimeandikwa see translation click hapo utajioneaaa yoote ya kiarab to englishPage ya Idriss kule insta ameandika Kiarabu ndiyo ameniacha Ubongo stand, lakini waja wanasema inamaanisha 'ndiyo nani huyo, simtambaui'. Mimi nilikuwa ninajiuliza hivi huyu Idriss anaroho gani, mama ubaya anamuongelea baba ubaya kwenye media live?
Mpooooooooooo??????
Haitoshi maana expenses za madam ni mamilion ya pesa kwa mwezi.Amepata kibarua Radio FM sikuhizi, pesa ya kuleta mkate nyumbani anayo.
Ana pepoHao wote watoto. Kidogo wanaishia kufumbiana insta. Huyo idrisa nae, sometimes huwa ana points zake, sometimes utoto mwingi. Watajuana wenyewe, kumthibiti wema nayo kazi. Diamond mwenyewe alikuwa anaingia na kutoka
Kutoka umilionea mpaka kuwa mtangazaji radio kweli siyo kila mtu anaweza kuwa mjasiriamaliAmepata kibarua Radio FM sikuhizi, pesa ya kuleta mkate nyumbani anayo.