Wema na Idriss Kimenuka

Wema na Idriss Kimenuka

NA WEWW NJOO USEME HAPA IDRIS KACHEAT NA NANI? NA VITHIBITISHO UWE NAVYO..KWANZA IDRISA UMEMVUMILIA SANA HUYO WEMA KWANZA KACHOROPOA MIMBA YAKO ANADENDEKA DAILY HAFU MNASEMA IDRIS ANA CHEAT MBONA HATUJAONA UTHIBITISHO...MUMUACHE KAKA WA WATU SISI TUNASEMA MMETOKA 100-0 MATAPISHI NI KINYAA
 
mi huwa hata sielewi
Hivi huyo wema wenu ana kitu gani cha ajabu mpaka kila iitwapo leo mnamlipoti mala kafanya kile mala hiki
yaani kipi special kwa huyu mwanamke ?
Kiukweli mbna ni wa kawaida tu
mbona kila leo mnampa promo ?
 
Screenshot_2016-06-23-14-41-15-1.png

Screenshot_2016-06-23-14-40-48-1.png
Yallllaaaaahhh
 
Mie mwenyewe napenda umbea mnooo
Kwahiyo wameachana au kik tu hawa nao, ili munana akimrudia wema atakua zombie sana
Page ya Idriss kule insta ameandika Kiarabu ndiyo ameniacha Ubongo stand, lakini waja wanasema inamaanisha 'ndiyo nani huyo, simtambaui'. Mimi nilikuwa ninajiuliza hivi huyu Idriss anaroho gani, mama ubaya anamuongelea baba ubaya kwenye media live?
 
Hao wote watoto. Kidogo wanaishia kufumbiana insta. Huyo idrisa nae, sometimes huwa ana points zake, sometimes utoto mwingi. Watajuana wenyewe, kumthibiti wema nayo kazi. Diamond mwenyewe alikuwa anaingia na kutoka
 
Fanya hivi nenda kwenye post aloandika kiarabu.. shuka chini kwenye hiyo post utakuta kitu kimeandikwa see translation click hapo utajioneaaa yoote ya kiarab to english
Mpooooooooooo??????
 
Hao wote watoto. Kidogo wanaishia kufumbiana insta. Huyo idrisa nae, sometimes huwa ana points zake, sometimes utoto mwingi. Watajuana wenyewe, kumthibiti wema nayo kazi. Diamond mwenyewe alikuwa anaingia na kutoka
Ana pepo
 
Back
Top Bottom