Wema na Ivan it's ON, Wana-date

Ningekuwa nishambadilisha na fungu la nyanya...hafai hata kwa bahati mbaya
 
Ivan atamtumia wema kupunguza nyege tu,ivan ana mke pia anaitwa sharon,, piga ua tutasikia mengi na huyo dada mtu kwa kujipendekezaaa sasaa kwa wema khaaa!!

Sasa wameanza kupendana lini.?? Kupendana kwenye mtandao baada ya kutendwa kahaba wataifa atatiwa ataachwa
 
Tatizo anapenda kujiona na kujieka juu yeye na kuona hafai kupitwa kwa lolote ambalo ni wrong sababu hana kazi ya maana wala biashara
Hizo lipstick zisije Kuwa kama alivyofungua kampuni kwa mbwembwe na party afu muvi zikaenda na tsunami
Huyu dada anapepo lakupenda kukaa bila kujishughulisha kama binadamu wengine anataka kupanua mapaja kisha apewe mshiko mrefu
 
Tafsiri ya hilo neno kuDATE please, coz mnapokuja na habari kama hizi mnanifanya hata nikiona kuku (jogoo na mtetea) wanavyokimbizana na kuDO hovyo hovyo niseme nao wanaDATE.

ah ah ah!umenifanya nicheke sana mkuu
 
Hivi mlotaka wema amdate nani?? Au mlitaka akae bila mahusiano for the rest of her life,, DOUBLE STANDARD PEOPLE
 
watu wengi humu mna mabaya zaidi ya wema sems tu nyinyi si maselebreti...
 
Wema ni Dada anayejitambua sana.
Hata ka orodha kake kanatia moyo.
Mr. Blue.
Mnyama.
Platnumz.
Mdingi asiyejulikana.
Baaaaaas hawa wengine hawajahakikiwa ki utaalam manenomaneno tu.
 
duh!!!!!!!

humu watu wote ni wasafi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…