Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Ningekuwa nishambadilisha na fungu la nyanya...hafai hata kwa bahati mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivan atamtumia wema kupunguza nyege tu,ivan ana mke pia anaitwa sharon,, piga ua tutasikia mengi na huyo dada mtu kwa kujipendekezaaa sasaa kwa wema khaaa!!
sasa wameanza kupendana lini.?? Kupendana kwenye mtandao baada ya kutendwa kahaba wataifa atatiwa ataachwa
But still...kupokonywa Zari kisha ukaambulia Wema...ni sawa na kupokonywa almasi ukaambulia shaba!
Tafsiri ya hilo neno kuDATE please, coz mnapokuja na habari kama hizi mnanifanya hata nikiona kuku (jogoo na mtetea) wanavyokimbizana na kuDO hovyo hovyo niseme nao wanaDATE.
But still...kupokonywa Zari kisha ukaambulia Wema...ni sawa na kupokonywa almasi ukaambulia shaba!
mbona wao wanavyogongwa hatusemi ni makahaba waende huko
watu wengi humu mna mabaya zaidi ya wema sems tu nyinyi si maselebreti...
Kuna watu wengine papuchi zao zikikaa bila kuguswa wanaugua
Hajashikwa na mtu hapa....'Yes, I love spotlight!'...Wema.