Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo zote ni blah blah, point ni kwamba wema ni kahaba! ni malaya, period! uwe na siku njema!ngoja aolewe il asiwe kahaba, watu mnaroho za kwanini,sasa wewe ulitaka akae ivovo bila kuwa na mwanaume kwani sister huyo,mie sio ushabiki wala nini ila nimesoma coment zako inaonekana wema anakuumiza sana,eti cheap,kwa kumlinganisha na nani?wema kamuacha huyo super star wetu kakutana na ivan nae yuko single kwani shida ikowapi,waacheni na maisha yao bana,roho mbaya na wivu sio sifa,ngoja aolewe ndo tujue kama ni kahaba ama laa,lakini saiz alikuwa anatafuta.hata wewe unaweza kuwa malaya zaidi ya wema sema tu sio super sweatheart wa tanzani.
kuna watu wanabahti zao bana,najua izo pesa za ivan ndo zinakupigisha izo kelele humu mitandaon.pole for not being a super star may be angekuona wewe.
kama wema na ivan wanoana kweli hongera zao.
hao vichaa wa hiyo blog wasikupe mawazo! wengi wao ni makahaba!hah hah hah shauri yako utaandikiwa gwazeti wewe, sijui na wewe ni mwalimu teh teh teh:lol:
naona umekuja kishari shari kuwatetea makahaba wa nchi! haya endelea kungonjereka! naona una ngonjera! Dinazarde kuja uone ngonjera huku!Ndo ukahaba Wa faida ye anagongwa anapata ela we unagongwa waachiwa shahawa ela Nyumba ndogo Nani anafaida???? Alafu anatumia k yake azimi ya MTU we roho yakuumia nn???
naona umekuja kishari shari kuwatetea makahaba wa nchi! haya endelea kungonjereka! naona una ngonjera! Dinazarde kuja uone ngonjera huku!
nadhani mange anamtaka Diamond, haiwezekani kila siku ukilala ukiamka huna habari nyingine zaidi ya Zari Na Diamond, nadhani mdudu wa mzungu unambore, si unajua black is always hard and beautiful, arudi kwa ALBERT kama amemiss mamboz, aachane na Diamond, Mange anaudhihirisha ulimwengu kuwa yeye ni kahaba haswa!Ex wa muzungu g*y kaamua kumshauri Diamond sasa kinamuwashaaaaaaaa. Baadabya kuona anayemwita mdogo wake kwa kulazimisha undugu hana time nae.
Anataka mshauri Chibu na pesa zake na maisha yake...wakati anasahau kushauri watu kuwa mzungu wake kampiga kibuti na amekaa anaomba warudiane kwa kulia ili aonyeshe picha zake tena.
Mdogo feki hana chati ki up up so now maisha ya Chibu shame on her. Security sijui nini ajikomoleeee na ma stress ya kuachwa.
Wema ni Dada anayejitambua sana.
Hata ka orodha kake kanatia moyo.
Mr. Blue.
Mnyama.
Platnumz.
Mdingi asiyejulikana.
Baaaaaas hawa wengine hawajahakikiwa ki utaalam manenomaneno tu.
nadhani mange anamtaka Diamond, haiwezekani kila siku ukilala ukiamka huna habari nyingine zaidi ya Zari Na Diamond, nadhani mdudu wa mzungu unambore, si unajua black is always hard and beautiful, arudi kwa ALBERT kama amemiss mamboz, aachane na Diamond, Mange anaudhihirisha ulimwengu kuwa yeye ni kahaba haswa!
mwenye ile email ya mwamvita pliz atuwekee!
nadhani mange anamtaka Diamond, haiwezekani kila siku ukilala ukiamka huna habari nyingine zaidi ya Zari Na Diamond, nadhani mdudu wa mzungu unambore, si unajua black is always hard and beautiful, arudi kwa ALBERT kama amemiss mamboz, aachane na Diamond, Mange anaudhihirisha ulimwengu kuwa yeye ni kahaba haswa!
mwenye ile email ya mwamvita pliz atuwekee!
Huyu mdingi asiyejulikana ni nani
ahsante mwaya kwa kunifungua macho! ambalo lipo wazi ni kwamba mange ni malaya. na ndio maana msichana yeyote ambaye ni gold digger kwake yeye ndio mfano wa kuigwa! yaani upuuzi mtupu! unawezaje kuandika kwa blog kuwa watu wawe wanakwenda kwenye maclub cjui mabar when haunting???/ like serious???/ i was shocked kwakweli,Hello, kumbe haujagundua kuwa pete havai tena baada ya ma stress ya issue za kifamilia kama alivyosemaga na pia biashara kutoenda alivyotegemea? yaani amesoma ila hana ile maana kila wakati ana anzisha hiki kinakufa then yeye anatoka na kusema anashauri watu.
Sasa mtu kama huyo cv yake aliemvumbua kuwa miss TZ ana majanga maishani na kuonyesha umma, kweli mtu kesho unaweza mlipa menge awe mshauri wako.
yaani hadi sasa hana cha kuonyeshea kuwa ana experience ya kushauri zaidi ya zile za ukahaba wa kwenda ma bar kutafuta wazungu na online kama alivyoandikaga... anatiisha wanawake aibu kwa kuwa mdaku then eti educated...ni zile degree za kukram na kuandika ila experience akili sifuri.
Ok wakati ule wanasema kaacha I guess now ndio anafuatilia kuomba mume arudi...hadi b4 xmas alipoenda TZ pete zilikuwa zinang'aa vidoleni. baada ya kuandika majanga sijui kifamilia no pete tena hadi leo....picha zinaonyesha.
kuna mahala wamemchambua kuwa picha za mume alifuta insta akaacha mbili tatu walizopiga na wengine pamoja, akaondoa kwa profile ile wife blah blah blah, anaongelea kutoka kwenda date, amekonda zaidi bila diet...
chezea muzungu alidhani na akili zaidi yake ya kuishi double life kama vile mzungu hamfuatiliiiii, yamemkuta chwaaaaaa na kushinda kote kucheka ndoa za watu hana nguvu ya kuandika yaliomsibu mmama anayeanika her life mtandaoni.
Ila blog nyingi zimepoteza mwelekeo matusi ndio yanavutia wanafunzi wa vyuo, kama kwake CBE students ndio haoooo wanamsapoti..labda anawapa pesa za internet. kama w anavyowapa wafuasi. hongo hongo ndio mwendo wao
Yupo anaomba mzungu arudi maana itakuwa aibu sana kwake...auhata wajifanye wako pamoja kwa ajili ya watoto. ila kwishnei ndoa
kama siyo kusema anamtaka diamond ni nini sasa??? kila siku hakuishi mdomoni mwako!!! kisa ni nini??? yule dada puuuuuuuuuuuuuu!Yaani sijui ananini nae, yaani hapati wafuasi wa mtandao so anajaribu kumsema Diamond ili team w waje wamtukane waitane apate kiki kwa blog. na pia kiundani rohoni chupini anamchukia sana. natumaini hata show zake hataenda. pichani mume hatumuoni, sentensi now me me me me kids kids kids....walisema kaachwa solemba no pete. nimesikia anamuomba warudiane hata kama no ku do.
e-mail ipo kwenye thread 2 humu humu katikati maana hadi mods waliamua kuzifunga zilikuwa zinaendaaaaaaaaaa...