Wema na Kajala watoana "JASHO" polisi

Kajala mi siku ukimrudishia pesa zake Wema,ntafanya sherehee
 
Watu bana bize kabisaa kuwa na kikundi cha msuto et team nini sijui eh haya...
 
Kajala mi siku ukimrudishia pesa zake Wema,ntafanya sherehee

KAJALA alisema hawez kurudisha pesa kwa kuwa wema alitoa kama rafiki na hakumkopesha hivyo ata akimlipa haitaleta maana kwa kuwa hiyo pesa ilitolewa kwenye kipindi kigumu na alikuwa hana uwezo wa kutoa
 
Hiyo ya kuomba msamaha ilinipita

Ninachojua tu lemutu alidai alitukanwa kuwa ANANUKA MDOMO hahahahahahahahah

Ila.mati kawa na adabu.....maana dah walizidi kutukana viungo vilivyowaleta duniani

Ingawa na le mutu nae kujiingiza kwenye mambo ya wanaeake mmmmh



Hahahah nitafungwa na le baharia? Kwa hiyo nitakuwa maarufu insta?
Itabidi nipige nae picha selo
 
Last edited by a moderator:

Aliomba msamaha unaambiwa, wacha aanze kutubu kama mtoto mdogo, nasikia walimrekodi kila kitu so akizingua tena mambo yanawekwa hadharani, maana nasikia alivyokuwa akitubu katoa masiri kibao unaambiwa hadi aibu, sasa ivi anajidai kupatana na kajala, chezeya jela weye, mpigieni makofi kajala tafadhali
 

kwa kwa kwa
 
Ha ha mahabati yake kwa mama ubaya kumeponza bichwa lake aache kutukana wenzake mitandaoni na sasa atakoma kimbele front chake

Anatiaje huruma huyo andunje mati kiboko yao? Sasa sijui kiboko ya nani wakat kajala kamtoa jasho mpaka analia na kuomba msamaha, chezea kulala polisi weye? Huyo mama ubaya anawaponza wenzie, anawajaza upepo wakiwekwa ndani uwezo wa kuwatoa hana, *****, ndo wakome
 
Mi matikibokoyao kanichekesha, jina ukilisikia lina mikwara mingi kumbe hakuna kitu *****, kajala kawakomesha, makofi kwa kajala tafadhali👏👏👏

Pwaaaa pwaaaaaa pwaaaaaaaaa
 
Hahahaj

Ila yule nae alichemsha


Ukijijua mtukanaji kwa nini unarusha rusha picha zako, sijui alitaka sifa

 

asa hv anaitwa mati kiboko yake kajala
 
Hahahaaaaa,kweli makofi kwa kajala...bora karudisha heshima maana ilikua ishakua tabu jamani
 
Hii tabia ya kurekodi watu wanapokua wanaomba msamaha mbona sio..nimemkumbuka PNC
warumi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaj

Ila yule nae alichemsha


Ukijijua mtukanaji kwa nini unarusha rusha picha zako, sijui alitaka sifa

Mi mwenyew namshangaa alijiamini sana, sijui boss wao mama ubaya aliwaambia kuwa yeye kaishikilia serikali so hawawez kumfanya chochote, ona sasa mtoto wa watu kalala polisi siku mbili kwa sababu ya ujinga wake, ye alijua wema mungu, ndo atajibeba, kwanza wangekatupa segerea kama lulu ndo kangetia adabu, kujifanya timu my foot wakat hawana mbele wala nyuma
 
Mi matikibokoyao kanichekesha, jina ukilisikia lina mikwara mingi kumbe hakuna kitu *****, kajala kawakomesha, makofi kwa kajala tafadhali👏👏👏

ha ha ha hivi zaidi ya kusutana huyo dada ana ishu gani mjini inayompa kujulikana?
make ni maarufu maarufu
 
ha ha ha hivi zaidi ya kusutana huyo dada ana ishu gani mjini inayompa kujulikana?
make ni maarufu maarufu

Kapata umaarufu baada ya kuwatukana mastaa kama wolper na kajala, we unadhan bila akina wolper angemjua nani? Maana yeye akikaa kutwa anawashwa na kina wolper na kajala, na kajala kamkomesha, naona hana mda nae
 
Ivi na wewe pet man si umeoa wewe? Hayo mambo ya kuambatana na mama ubaya kwenda kusutana na wanawake unayatolea wapi? Mmh kazi unayo mwaka huu

Ameoa . Ameolewaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…