warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
- Kwa mara ya kwanza nimeiona umeandika sense tupu ni kwenye this post saafi sana, I was there na wale wote tuliowahi kutukanwa na huyu mtu tuliitwa ilikuwa huzuni sana, sasa bosi wake alipigania sana atolewe mapema kusudi asitoe siri na huyu mtu siku ya kwanza alikuwa kiburi sana akiamini atatoka, mpaka alipogundua kwamba analala tena siku ya pili ndio akaamua kutema yote, nani aliyemnunulia simu, nani anayempa bundle, nani anayempa matusi ya kutukana watu, na nana anamwambia wa kumtukana,
- Akatoa simu zake kwa Polisi aibu tupu wanaohusika naye, ila cha msingi kuliko yote ni pale alipomtaja mtu anayepeleka maneno between Kajala na Wema, kuna Rafiki wa karibu sana anayewachonganisha na ana ukaribu na wote wawili hapo ndipo Kajala alipoangua kilio kizito sana pale pale, again huyu mtu aliapa kwamba hatarudia tena na mama yake mzazi ndiye aliyekuwa sahidi wake, infact at one point aliomba kupewa Simu au Laptop ili aombe radhi at Instagram mimi nikakataa kwamba itakuwa too much ndio kesho yake akaachiliwa kwa kumuonea sana huruma,
Le Mutuz
Dah!! Hatar sana, nasikia mlim record wakati akimwaga maubuyu ya hiyo issue ili siku ikitokea akakana kuwa hakuwahi kusema au kurudia kutukana watu ovyo mitandaoni, bas hiyo clip itatolewa hadharani ili wanaoshirikiana kwenye uchafu wote wa kutukana watu mitandaoni.
Lakini ni watu wengi sana wanaotukana mastaa uko insta, kama yule jipange nakumbuka alikuwa anamtukana sana kajala na wolper, kuna kipindi hao mastaa walikuwa kwenye kipindi kigumu sana kwa ajili ya huyo mtu, je mbona yeye hamjamkamata? Hamuoni kama mtakuwa mmemuonea matikibokoyao wakat watukanaji insta ni wengi tena wanajulikana.