Wema na Kajala watoana "JASHO" polisi

Wema na Kajala watoana "JASHO" polisi

- Kwa mara ya kwanza nimeiona umeandika sense tupu ni kwenye this post saafi sana, I was there na wale wote tuliowahi kutukanwa na huyu mtu tuliitwa ilikuwa huzuni sana, sasa bosi wake alipigania sana atolewe mapema kusudi asitoe siri na huyu mtu siku ya kwanza alikuwa kiburi sana akiamini atatoka, mpaka alipogundua kwamba analala tena siku ya pili ndio akaamua kutema yote, nani aliyemnunulia simu, nani anayempa bundle, nani anayempa matusi ya kutukana watu, na nana anamwambia wa kumtukana,

- Akatoa simu zake kwa Polisi aibu tupu wanaohusika naye, ila cha msingi kuliko yote ni pale alipomtaja mtu anayepeleka maneno between Kajala na Wema, kuna Rafiki wa karibu sana anayewachonganisha na ana ukaribu na wote wawili hapo ndipo Kajala alipoangua kilio kizito sana pale pale, again huyu mtu aliapa kwamba hatarudia tena na mama yake mzazi ndiye aliyekuwa sahidi wake, infact at one point aliomba kupewa Simu au Laptop ili aombe radhi at Instagram mimi nikakataa kwamba itakuwa too much ndio kesho yake akaachiliwa kwa kumuonea sana huruma,

Le Mutuz

Dah!! Hatar sana, nasikia mlim record wakati akimwaga maubuyu ya hiyo issue ili siku ikitokea akakana kuwa hakuwahi kusema au kurudia kutukana watu ovyo mitandaoni, bas hiyo clip itatolewa hadharani ili wanaoshirikiana kwenye uchafu wote wa kutukana watu mitandaoni.

Lakini ni watu wengi sana wanaotukana mastaa uko insta, kama yule jipange nakumbuka alikuwa anamtukana sana kajala na wolper, kuna kipindi hao mastaa walikuwa kwenye kipindi kigumu sana kwa ajili ya huyo mtu, je mbona yeye hamjamkamata? Hamuoni kama mtakuwa mmemuonea matikibokoyao wakat watukanaji insta ni wengi tena wanajulikana.
 
- Yeye alikuwa ni mkubwa kuliko wote na alikuwa amewakera Watu wengi sana ndio maana ninasema hivi wale waliokuwa wanahangaika kumtoa wangejua nani walikuwa wanapigana asitoke wangeanguka chini kwa mshangao, kumbana mbavu huyu mtu ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa waliokuwa wanamtuma hao wengine wote hawana nguvu kama aliyokuwa nayo huyu mtu,

- Halafu cha ajabu zaidi ni kwamba ili kumnasa walimdanganya kwa kumtongoza akaomba apewe laki mbili ili aje akaambiwa zipo aje tu akaja na bajaji, sasa imagine huyu ndiye mtu aliyekuwa kiongozi wa kutukana wengine it was very sad moment kwa kweli!!

Le Mutuz
 
Nishafika binamu warumi...ila huyo le mbebez kashanichefua...eti ndo kwa mara ya kwanza anaona unaandika sense...kwa hiyo siku nyingine waandikaga pumbaa? Ye hajioni ile ----- anaouandikaga?

Tuyaache...swali kwa le mbebez anamzungumziaje shangazi yake matikibokoyao...manake naye kamuandama....
 
Last edited by a moderator:

Le mutuz weka zile u know bana sie tushazizoeaa
 
Mwenye picha yake kamili anatukana wenzake kumbe naye anauza aiseee na akome nadhani ni fundisho na kwa wengine wapenda matusi
 
Nishafika binamu warumi...ila huyo le mbebez kashanichefua...eti ndo kwa mara ya kwanza anaona unaandika sense...kwa hiyo siku nyingine waandikaga pumbaa? Ye hajioni ile ----- anaouandikaga?

Tuyaache...swali kwa le mbebez anamzungumziaje shangazi yake matikibokoyao...manake naye kamuandama....

- Huwa siwaongelei wala kuwataja majina wale wote wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri, nenda Isntagram vurugu tupu wanaolipwa wanahangaika kutukana watu kumfurahisha bosi wao, bosi wao naye anatukanwa so hakuna bingwa wa matusi, ukienda huko wote wanalalamika huyu anajidai yupo strong hababaiiki na huyu naye anajifanya strong wanarushiana matusi left and right halafu kuna wapammbe masikini wa Mungu wanaoshabikia bila hata kujua kinachoendelea,

- Hii society imefika pabaya sana I mean kuna wakati weasichana wanamgombea mume wa mtu, halafu washabiki wapo wanashabikia as if it is ok jamani ile sheria ya ukimtetea mwiizi na wewe ni mwizi iliishia wapi?

Le Mutuz
 
hao watukanaji IG si haba maisha yamewapiga mbaya sasa wanatafuta pa kufiamo duh!
 
Back
Top Bottom