Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajala mi siku ukimrudishia pesa zake Wema,ntafanya sherehee
Hahahahaha BADILI TABIA unajua utafungwa na lebaharia?
Jf ni mwisho wa matatizo hakika! Kwenye hii habari nimecheka hapo kwenye neno "DURU ZA KIUBUYU"
Nikavunjika mbavu zaidi na wewe ulipo uliza swali hilo kwenye red!
Halafu huyu aliyepelekwa polisi ndio yule aliyemuomba msamaha le baharia akamsamehe?
alitoka baada ya kumuomba msamaha kajala, maana boss wake aliyemtegemea kumtoa aligonga mwamba, ndo akome ushabiki maandazi
Hiyo ya kuomba msamaha ilinipita
Ninachojua tu lemutu alidai alitukanwa kuwa ANANUKA MDOMO hahahahahahahahah
Ila.mati kawa na adabu.....maana dah walizidi kutukana viungo vilivyowaleta duniani
Ingawa na le mutu nae kujiingiza kwenye mambo ya wanaeake mmmmh
Hahahah nitafungwa na le baharia? Kwa hiyo nitakuwa maarufu insta?
Itabidi nipige nae picha selo
Watu bana bize kabisaa kuwa na kikundi cha msuto et team nini sijui eh haya...
Aliomba msamaha unaambiwa, wacha aanze kutubu kama mtoto mdogo, nasikia walimrekodi kila kitu so akizingua tena mambo yanawekwa hadharani, maana nasikia alivyokuwa akitubu katoa masiri kibao unaambiwa hadi aibu, sasa ivi anajidai kupatana na kajala, chezeya jela weye, mpigieni makofi kajala tafadhali
Ha ha mahabati yake kwa mama ubaya kumeponza bichwa lake aache kutukana wenzake mitandaoni na sasa atakoma kimbele front chake
Mi matikibokoyao kanichekesha, jina ukilisikia lina mikwara mingi kumbe hakuna kitu *****, kajala kawakomesha, makofi kwa kajala tafadhali👏👏👏
Aliomba msamaha unaambiwa, wacha aanze kutubu kama mtoto mdogo, nasikia walimrekodi kila kitu so akizingua tena mambo yanawekwa hadharani, maana nasikia alivyokuwa akitubu katoa masiri kibao unaambiwa hadi aibu, sasa ivi anajidai kupatana na kajala, chezeya jela weye, mpigieni makofi kajala tafadhali
Anatiaje huruma huyo andunje mati kiboko yao? Sasa sijui kiboko ya nani wakat kajala kamtoa jasho mpaka analia na kuomba msamaha, chezea kulala polisi weye? Huyo mama ubaya anawaponza wenzie, anawajaza upepo wakiwekwa ndani uwezo wa kuwatoa hana, *****, ndo wakome
Hahahaj
Ila yule nae alichemsha
Ukijijua mtukanaji kwa nini unarusha rusha picha zako, sijui alitaka sifa
Mi matikibokoyao kanichekesha, jina ukilisikia lina mikwara mingi kumbe hakuna kitu *****, kajala kawakomesha, makofi kwa kajala tafadhali👏👏👏
ha ha ha hivi zaidi ya kusutana huyo dada ana ishu gani mjini inayompa kujulikana?
make ni maarufu maarufu
Ivi na wewe pet man si umeoa wewe? Hayo mambo ya kuambatana na mama ubaya kwenda kusutana na wanawake unayatolea wapi? Mmh kazi unayo mwaka huu