MmmmhSiku ikifika utapigwa tu
Ndiyo hivyo mwanaume gani mdebwedo hata mkewe hajaonja mapigo yake ?[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha kunichulia mkuu, hafu unaweza kupigwa upendo ukaongezeka maradufu aisee
Naamini unaisubiri kwa hamu hahahahahaMmmmh
Hahaaaa eti kakuzugiaNdiyo hivyo mwanaume gani mdebwedo hata mkewe hajaonja mapigo yake ?
Lazima kawepo kakofi kakuzugia kidogo ila asigeuze ngoma tu
Sijawahi kusubiri kupigwa hata siku moja na kwanza maisha ya kupigwa pigwa sipendi kbsNaamini unaisubiri kwa hamu hahahahaha
Yeah tena huwa vinaimarisha mapenzi.Hahaaaa eti kakuzugia
Inabidi ununue skirt na blouse umuunge mkono tuMwanamke anakutukana alafu unaishia kumwambia " Sawa asante ,mimi sisiemi"0[emoji3][emoji3]
Siyo kupigwa pigwa kuchapwa kidogo tu kama kiamsha mapenzi yanaupotezwa na zereuSijawahi kusubiri kupigwa hata siku moja na kwanza maisha ya kupigwa pigwa sipendi kbs
Ndio maana nchi za Ulaya domestic violence haziingiliwi na Polisi,Polisi wanfika sehemu ya tukio kama wapatanishaji tu,Kuna kesi nyingi za domestic violence wanawake wanawageukia polisi,mahakamaniHii tabia ipo kwa baadhi ya wanawake
Nakumbuka zamani nikiwa mkalimani niliitwa kwenye domestic violence ya wanandoa ambapo mwanaume alimvunja mkono mke wake, cha ajabu nilipomuuliza unataka afunguliwe kesi police alikataa katakata na kusema huwa tunapigwa tukikosea
Simshangai sana kwa kauli yake tuishi nao tu hivyo hivyo
Hahahahhah khaaaaSiyo kupigwa pigwa kuchapwa kidogo tu kama kiamsha mapenzi yanaupotezwa na zereu
Kazuri tuHahahahhah khaaaa
Hizo tabia mi najua wakurya ndio wanazoKazuri tu
Wale wauaji tu, siyo vipigo vya mapenzi hivyo ni bitaHizo tabia mi najua wakurya ndio wanazo
wema kwasasa anatamani hata kikongwe ili mradi aitwe mke wa mtuMwanamke hajui anachotaka, ukimpiga jiandae kwenda ustawi wa jamii...
Vipigo vya mapenzi unavipata kwa wasukuma tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo tabia mi najua wakurya ndio wanazo
Hajasema anataka mwanaume bondiaSi akaolewe na Hassan Mwakinyo aliemchapa mwingereza Sam Eggington juzi... Akageuzwe punching-bag
HaaahaaaMwishowe atatamani "ANAYE NUKA MDOMO". Ila wema jamaaaniii!!!!